loan allocation kwa wanafunzi wa second selection

de gscom

Member
Aug 15, 2012
6
0
jamani kwa anae jua kama wanafunzi wa second selection wanaweza pata mkopo au hawawezi pata atoe taarifa au viewz zake kwa people
 
Aliyeomba, mwenye vigezo vinavyokubalika ndio anaweza kupata.Waliopata na waliokosa hawajajulikana,namanisha HESLB hawajafunguka kwa hiyo usihofu walioapply katika second round pia wanahusika kwenye mchakato kama waliomba, kama hawakuomba ni mpaka baadaye wakishapata chuo kama watakuwa na vigezo vinavyokubalika.
 
watapata ndo maana waliambiwa wacorrect information zao lkn vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom