Elections 2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

Newton amepambanua nini kinachohusu shuka kwa shuka?

Umenifurahisha sana Mwafrika unajua CCM wanataka lazima tukubaliane na ideology zao sasa fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua hebu niulize tuchambue sentensi ya huyu mama inasema hivi " kushawishi, watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi shuka kwa shuka!"

Tukianza kuna neno ushawishi - kuwavutia watu waje , kuwarubuni kwa njia mbali wavutiwe,kimsingi kuwafanya watu wakubaliane na hoja zako. Sasa vishawishi vinaweza kuwa matendo yako mazuri, haiba, elimu, undugu, cheo, pesa na pia mtazamo wa mtu mfano mwanamke mzuri au mwanaume mzuri.

Halafu anasema wa kushawishiwa ni akina nani ni watu - mimi na wewe .

Kufanya nini kuipigia kura CCM.

Sasa shida inakuja katika njia hizo za ushawishi ndio watu wanapingana na mama huyu. Maana anasema nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba hizi mbili zinaeleweka na zinaweza kuwa maana wazi kabisa. Shida inakuja shuka kwa shuka tunavyojua kwa mila na desturi za mtanzania ni kwamba anayeingia ndani ya shuka ni mkeo au mwenza (tukiassume wote sie ni watu wazima). Sasa huyo anayekuja shukani ni nani!!!! Na anakuja kukushawishi nini alichoshindwa kukushawishi nyumbani, chumbani sasa mpaka katika mashuka???

Nawaachia mjijibu wenyewe CCM
 
Kazi nzuri sana mkuu, sasa ngoja nimsubiri tandaleone aje kujaribu kukujibu hapa
 
Hivi huyu mama si ndio mumewe alisema wale watakaofeli wapelekwe ualimu? Na yeye si mwalimu?
 
Nasubiria wakati wa kesi dhidi ya mama Kikwete ikianza, mwanasheria aulize tu (kabla wa mama salma hajaruka na objection) hili swali kwa udaku.

Mwanasheria - Salma Kikwete, ulimaanisha nini uliposema kuwa kampeni ziwe shuka kwa shuka?
Mwanasheria wa Salma - objection
Hakimu - Sustained
Mama Kikwete - wewe Ishengoma, acha tu nijibu hilo swali mbona ni rahisi sana?
 
kampeni za shuka kwa shuka ndizo hizi?

jk-makete.jpg
 
Mama Salma mahangaiko yake siyo kwa mumewe tu ila kwa watoto kama Ridhiwani anayesubiri Baba amkabidhi kitebe...............
 
Back
Top Bottom