Lo kwa wale wakazi wa arusha baridi hii itazaa mbesi nyingi

telitaibi

JF-Expert Member
May 2, 2012
551
106
Katika safari zangu za kujenga taifa, baridi ya Arusha, nimeivulia kofia, wakazi poleni
 
Jamani kwa wanandoa hiki si kipindi cha kwenda Arusha mwenyewe hutalala kwa baridi wenyeji tupemi kanuni?
 
Njooni wala msijali baridi ni leo tu imeanza ila nawashauri kiangazi au masika yote ni maamuzi yako kuwa au kutokuwa na blanket chapa m2. Ila nadhani ningekuwa na mamndenyi...,..... My god! Alaaniwe ruttashobolwa na watu wote waseme ameeeeeeeeeeee.
 
ka laana tena
 
Back
Top Bottom