lizzy na uporoto1

Halaf wamebadilishana mabegi, mjomba uporoto kala lady in pink na Lizzy kaondoka na boy is blue, heheeh hawa hata kifo hakiwatenganishi aisee.

Klorokwini nimeipenda hii... leo ndo nimehakikisha kua kumbe wewe huwafuata kote na ulikuwepo wakati wanabadilishana hizo bags...lol

hehehe! mtasutwa na matarumbeta nyie,mie simo!

Lizzy partner wangu alikua na ya kindoa kati yake na mumewe,,, mumewe alikua  kua uhusiano wa Lizzy na Uporoto sio wa kawaida kuna ... umeona issue yenyewe??? Mimi nilijaribu ku  but yakanishinda ulikua mkubwa nika  na kumleta dada wa busara Michelle... baada ya kubwa saana hatimae mamaa akafanikisha kukawa na kati yao. Mambo yoote yaliisha kwa ku  na ku  kati ya Lizzy na Shem.

Cheusimangala umepata huo ???

Klorokwini nimeipenda hii... leo ndo nimehakikisha kua kumbe wewe huwafuata kote na ulikuwepo wakati wanabadilishana hizo bags...lol
heheeh mimi alinipa stori huyo mjomba alieondoka na mbwanga rangi ya CCM huko nyuma ya Lizzy na Uporoto.

:gossip:Lizzy partner wangu alikua na :argue:ya kindoa kati yake na mumewe,,, mumewe alikua :frusty: kua uhusiano wa Lizzy na Uporoto sio wa kawaida kuna :A S-heart-2:... umeona issue yenyewe??? Mimi nilijaribu ku :grouphug: but yakanishinda :fencing:ulikua mkubwa nika :car: na kumleta dada wa busara Michelle... baada ya :flame:kubwa saana hatimae mamaa akafanikisha kukawa na :peace:kati yao. Mambo yoote yaliisha kwa ku :hug: na ku :busu kati ya Lizzy na Shem.

Cheusimangala umepata huo :gossip:???

nimekupata,mkanganyiko ulikua complex

Am glad you have seen that ... mmmmh yaniuma kweli shem wangu kufanyiwa hivi maana naelewa yee ndo ataathirika zaidi...

shosti kama unajua kuna kipindi,sikua hapa kijijin kwa muda mrefu,na nilivyorud sikupata muda kupitia mafaili yote,umeona eeeh,sasa kama kuna kizuri kilichotokea naomba unijulishe ili nisikiharibu bila kukusudia,sitak kuwa sbb ya roho ya mtu yeyote kutengana na mwili,kama vipi nipe majina sahihi nibadilishe heading haraka kabla mambo hayajaharibika,iliandikwa ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,sitaki kuua kwa thread mana nami nitauliwa kwa thread.

Lizzy Partner, Rafiki, Mwalimu
Kwa nini unitende hivi... yaani siri zoote zile twapeana
usinipe hili la muhimu kuliko yoooote...:doh:
Nimechanganikiwa sikuelewi kabisaaaa...
Kule ulikosema leo utachelewa ukute nako umenidanganya
jamani Partner why??? Mimi am :A S-cry:

:gossip:Lizzy partner wangu alikua na :argue:ya kindoa kati yake na mumewe,,, mumewe alikua :frusty: kua uhusiano wa Lizzy na Uporoto sio wa kawaida kuna :A S-heart-2:... umeona issue yenyewe??? Mimi nilijaribu ku :grouphug: but yakanishinda :fencing:ulikua mkubwa nika :car: na kumleta dada wa busara Michelle... baada ya :flame:kubwa saana hatimae mamaa akafanikisha kukawa na :peace:kati yao. Mambo yoote yaliisha kwa ku :hug: na ku :busu kati ya Lizzy na Shem.

Cheusimangala umepata huo :gossip:???

Kumbe mambo ilikuwa komplex hivi. Hapo Mungu ndiye pekee atakaeweza kuwatenganisha.

Similar Discussions

Back
Top Bottom