Liyumba na Kesi ya Kumiliki Simu Gerezani

Sashel

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
212
84
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana iliahirisha hadi Julai mwaka huu
kesi ya kumiliki vitu marufuku jela inayomkabili mfanyakazi wa zamani wa BOT
-Amatus Liyumba.Liyumba anadaiwa kufanya kosa hilo gerezani, upande wa mashtaka
uliiambia mahakama mshtakiwa alikutwa na simu ya mkononi ikiwa imewekwa ndani yake
sim card namba 0653-004662.

Kesi ilihairishwa na Hakimu Mkazi Devotha Kisoka kwasababu Hakimu Msimamizi Stewart Sanga alikuwa mgonjwa
Liyumba yuko kifungoni kwa miaka miwili baada ya mahakama hiyo mwaka jana kumkuta na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na hasara ya fedha za umma kiasi cha Tsh 221bn.

SOURSE: THE GUARDIAN

Hivi kwani huwa hawakaguliwi kabla ya kuingia huko jela?...inakuwaje mtu anaingia na simu.. Liyumbaphonetena(3)[1].jpg unless hao mabwana jela wamehusika pia
 
Back
Top Bottom