Liyumba karudi uraiani na ukame wa jela,tutarajie nini ?

Upro we acha tu ... huyu baba ni noma aliua hadi mwanaye wa kumzaa kwa mambo hayo ya mahusiano jamani hali inatisha mwanaye alikuwa ni mfanyakazi wa BOT ofisi za masaki alikuwa anaitwa nancy lolo mungu amsamehe maana she was youg and beautful lady ...


Binti mzuri yuleee!!! niliangalia kaburi lake mbaka machozi yalinitoka..dah kumbe ni huyu kenge mwitu kamuua?? mimi ni malay** lakini sijafikia huko aisee
 
Tutarajie kuwa atamrudia Mungu na tutaona akiingia kwenye makanisa ya kilokole nma kuyasalimisha maisha yake kwa Bwana Yesu
naomba iwe hivyo,lakini kuna muda alipata dhamana walikoma mjini.

ndio maana nasema hizi taarifa ni za vijiwe vya kahawa!!
Kipindupindu umesoma hapo juu UTANI/UDAKU.

Je unauhakika na unaweza kututhibitishia wana JF kuhusu huo usambazaji wa umeme au umepost tu na wewe uonekane umeanzisha mjadala?Hatuhitaji kujadili mambo yakusadikika we need facts
Wake zake wawili walikufa kwa ukimwi,nilimfahamu mmoja.
 
Kwakuwa alikuwa analiwa tigo kule gerezani, ataendeleza mchezo wake.
 
Hiyo kesi imempa umaarufu na saiv ndo atawala kiulaaaani maana wanawake wanajua anazo, na njaa hizi za bongo, utaskia ngoma kitu gani? ajali kazini
 
Jamani chukulieni hii issue serious kwani jamaa anajulikana na waliongwa magari wanajulikana na sio fununu ni kweli cha msingi tu ni kuwatahalifu hawa wapaka carolite waepukane nae kabisa::::
 
hasa wewe bisha mpaka dada ako ahongwe gar nyekundu ndo uamini.amin hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom