liyumba,jk na chuki za kike

mwakichi

JF-Expert Member
May 14, 2011
417
95
chanzo:historic background.
kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi ulianza pale mr pres alikua mb na liyumba mtumishi BoT kwan jk alikua anachukua mababy kwa kinga ya umb na uwazir akat liyumba alikua anatembeza cash..ilipofika kwa mr pres kupigwa chini na mb viti maalum vick kamata kwa ajil ya liyumba ikamuuma can akadhamiria kumfunga na amefanikiwa..leo kampa vick kamata ubunge viti maalum na vicky kamata kamshukuru kwa wimbo mfalme akikusamehe nan atakuhukumu?ule ni zaid ya wimbo wa kawaida,jaribu kuusikiliza..
 
Yaani wew bado ni mgeni ni humu jamvini halafu unaanza kwa kupost udaku.Majungu hayajengi mkuu! Weka post za kujenga humu ndani!
 
chanzo:historic background.
kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi ulianza pale mr pres alikua mb na liyumba mtumishi BoT kwan jk alikua anachukua mababy kwa kinga ya umb na uwazir akat liyumba alikua anatembeza cash..ilipofika kwa mr pres
kupigwa chini na mb viti maalum vick kamata kwa ajil ya liyumba ikamuuma can akadhamiria kumfunga na amefanikiwa..leo kampa vick kamata ubunge viti maalum na vicky kamata kamshukuru kwa wimbo mfalme akikusamehe nan atakuhukumu?ule ni zaid ya wimbo wa kawaida,jaribu kuusikiliza..

Hii mbona imekaa kiudaku!!,maneno hayamaliziki,,,,karibu sn
 
Jaman mie i love udaku kaka ukipata tena leta mana watanzania inasemekana hawana wrong data likisemwa tilia manani
 
chanzo:historic background.
kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi ulianza pale mr pres alikua mb na liyumba mtumishi BoT kwan jk alikua anachukua mababy kwa kinga ya umb na uwazir akat liyumba alikua anatembeza cash..ilipofika kwa mr pres kupigwa chini na mb viti maalum vick kamata kwa ajil ya liyumba ikamuuma can akadhamiria kumfunga na amefanikiwa..leo kampa vick kamata ubunge viti maalum na vicky kamata kamshukuru kwa wimbo mfalme akikusamehe nan atakuhukumu?ule ni zaid ya wimbo wa kawaida,jaribu kuusikiliza..

We hata kesi iliyokuwepo pale mahakamani hukuiona? We kweli kiboko hadithi yako inatufundisha nini sasa?
 
umesahau ndugu yangu kuwa small mind discuss people, moderate mind discuss events, and great minds discuss Ideas? (we a great thinkers bana, lete Ideas, not persona pple maters)
 
Tena ni udaku unaoudhi na ni kukosa adabu kwa watanzania kulikopitiliza. Sisi tuliofuatilia kesi ya Liyumba na tulioiona life style ya Liyumba tuna hasira kwa vile adhabu aliyopewa ni ndogo na tunapofikiria kwamba muda si mrefu atakuwa uraiani inatuuma sana. This guy has looted the Bank big time na kama ni nchi nyingine zisizo na utani na wahujumu uchumi, huyu bwana alitakiwa kuwa sasa ni marehemu siku nyingi.

Wewe unayedhani sisi hatuwafahamu watu hawa, ukaleta dhihaka zako za kipuuzi wakati sie tumeibiwa kodi zetu, hizo dhihaka zako zipeleke kwenye kiduku na siyo humu JF. Liyumba ni mhujumu uchumi, mwizi wa wazi na inatia hata kichefuchefu kujadili innocence yake kwa sababu hajawahi kuwa nayo. If you are all out to malign the President and you think you can enlist support of any right thinking persons then you are damn wrong and ill advised! You just cannot trivialise the war on fleecing! Shame on you, hata hiyo thread yako inaonyesha kwamba wewe ni wale spoilers mliotapakaa humu JF.
 
chanzo:historic background.
kumbe jk the pres kasoma shule na aliejua mtumishi wa BoT bwn liyumba,habar zaid zinaeleza mr pres alikua kilaza na bwn liyumba alikua na akil nyingi kumzidi..ugomvi ulianza pale mr pres alikua mb na liyumba mtumishi BoT kwan jk alikua anachukua mababy kwa kinga ya umb na uwazir akat liyumba alikua anatembeza cash..ilipofika kwa mr pres kupigwa chini na mb viti maalum vick kamata kwa ajil ya liyumba ikamuuma can akadhamiria kumfunga na amefanikiwa..leo kampa vick kamata ubunge viti maalum na vicky kamata kamshukuru kwa wimbo mfalme akikusamehe nan atakuhukumu?ule ni zaid ya wimbo wa kawaida,jaribu kuusikiliza..

Hivi na wewe ni great thinker?
 
Duh! inaonekana wewe shetani wako hapendi pesa kabisa,hii hadithi ya kishoga uliyosimuliana na mashoga wenzio saloon wakati unasukwa nywele unaweza kuingiza mshiko kama utawapelekea wenye magazeti ya udaku,kuliko kuja kutuchosha kwa kusoma vumbi lako hapa Jukwaani...shame on u!
 
Anataka kusema liyumba kafungwa kwa kutoshiriki wizi?
Acha uzembe kijana. Imethibitika mkono wake umeshiriki wizi wa majengo pacha na nafasi yake kama adminstrative officer aliitumia vibaya. Wezi wale. Hatukatai kama wana bifu na jk kivyao wote washamba lakini kwa upande mwingine wa shilingi ni kezi ka liyumba (according to mahakama)
hizi ni siasa za marekani za kuleta maada ili kuurubuni umma na kuwa wachonganishi, so kijana kama ni bifu wengi serikalini wanabifu, sisi wananchi tunatazama maslahi ya taifa. Tembea na liyumba mwizi.
 
Jamaa analeta utani wa kibwege katika issue serious. Nashukuru mkuu umempasha and I hope ataishia kimoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom