Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Mkulu aliwahi kumtaja Tabora wakati akihutubia japo si kwa jina! Alisema ni mzee wa red cars!
Mambo ya VK hayo!!! Kwa kisasi tu sijambo!!! Si cha kutumia Bill au lolote, ni kwa kutumia vifungu vingine vya sheria tu. Weka dhamana nusu ya ulichokwapua in cash or in kind!!! Nilijua huwezi lipa dhamana hiiiiiiiiiiii. Utanikoma Yakhe!!!!!! Pole mzee Amatus Liyumba, kila rangi za kinyonga utaziona, japo ulipendezwa na Red na mwisowe nasikia Black!!!!!! Sijui ilikua inaashiria msiba au.Jibu unalo baba Jenifer!!!!
VK ndo nini mkuu!
People were looking at those red cars at a narrow minded attitude!! Eti Liyumba ata bilion 500 angeweza lipa, THUBUTU! Nasema hivi hata 20billion hana!!
Let's do simple calculation;-
Assume kaonga magari 20 ambayo am sure hata kumi hayakufika (Peole just concluded on sample red cars he gave those ladies). Then assume kila gari ni Million 15, kwani mengi yalikuwa Rav4, saloons na M-Benzi. You only get 300Million, hata nusu billion haifki.
People just rushed at conclusion eti Liyumba atalipa hiyo dhamana! Hata nyumba ya Mbezi ilikuwa inflated! Million 800??? Iko Masaki au Oysterbay, no matter how big it is!
You said it all mkuu wangu. Huyu jamaa alikuwa kalubandika tu, hana lolote.Pesa alitumia nyingi kuhonga mama, dada, kaka na watoto zetu. Asset za maana kama anazo ni chache pengine anaogopa kuzitoa. Pia ile nyumba ya Mbezi beach hata mahakimu wanaiogopa maana wanajua ilichezewa thamani na hakuna atakayethubutu kucheza na kesi hii yenye special and authority interest. Acha alale kwenye cell ya Keko, ashukuru analala VIP.Nilitaka wamweke kule kwa wasela, wamkomeshe!!!!
Mkuu bado hujanisaidia kuhusu VK!
Wanawake na maendeleo?
..........Tufanye kazi tusonge mbele! Nimekusoma mkuu!
where we dare to talk openly......Wanawake na maendeleo?
where we dare to talk openly......
Mkimwachia ataendelea na mchezo wake,bora aendelee kuhifadhiwa selo ili Dada zetu wawe salama.
hahahaaa ,shikamoo BelindaVicky Kamata!!
hivi hawa dada zetu walikuwa wanabakwa au wanatoa huduma kwa ridhaa yao?Mkimwachia ataendelea na mchezo wake,bora aendelee kuhifadhiwa selo ili Dada zetu wawe salama.