Liyumba aachiwa lakini PCCB wambeba...

pasco 'anatushika' pabaya
No Maxence lengo sio kutonyesha kidonda, bali kujulisha nyingi ya kelele dhidi ya ufisadi, ni kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, the bottom line ni kuwa, naamini, mwenye nchi alikuwa na maslahi binafsi kwenye hayo yote ndio maana akatia pamba masikioni.

Hata Chenge alipokutwa na kale ka mgao kake, alikaita "vijisenti" in a way kuwa hizi za kwangu ndio mnaona hela, hivi ni vijisenti tuu, watu "wenye nchi" wana hela. Hiyo hakuimalizia angeunguza picha.

Hata Kagoda ingestukiwa kabla fungu halijatoka pamba pia zingetiwa masikioni.

Hali ilivyo kwa Kagoda ni uthibitisho King Maker alikuwa akifanya kazi ya wakuu.
 
Du kazi anayo.....kesi inaanza upya huo ni uonevu jinsi ya kumkomoa...tuu kila leo wanaka zikipita siku za kisheria kuwashikilia wana drop wanafungua charge mpya....duu kama kumkomoa kwa style hy atakoma...
 
Makosa katika hati hutokea, sio Tanzania tu. Hapa tunazungumzia sheria na si yale tunayofikiri ndio yanakuwa sheria.
You are right Mkulu.
Lakini, pale makosa hayo yanapotokea na wakati huohuo "Mamlaka" husika inaposema haitamfikisha mtu Mahakamani, mpaka wapate ushahidi wa kutosha,kwangu mimi ushahidi wa kutosha ni pamoja na UANDAAJI MAKINI NA SAHIHI WA MASHITAKA.
 
Another sad day for tanzania! but hey we kinda expected this outcome..tukubali matokeo...je ni kweli kuna watu humu waliamini liyumba na kweka wamekula 200 million $$ peke yao na kwa position walizokuwa nazo BOT?? Tukubali matokeo..busanda magogoni tumeshawapa and 2010 tutawapa kwa kishindo....
tunasubiri kesi za epa, mramba, yona kufutwa by sept 2009.
 
Kapinga,
Zote zitafutwa 2011. Baada ya uchaguzi.
 
No Maxence lengo sio kutonyesha kidonda, bali kujulisha nyingi ya kelele dhidi ya ufisadi, ni kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, the bottom line ni kuwa, naamini, mwenye nchi alikuwa na maslahi binafsi kwenye hayo yote ndio maana akatia pamba masikioni.

Hata Chenge alipokutwa na kale ka mgao kake, alikaita "vijisenti" in a way kuwa hizi za kwangu ndio mnaona hela, hivi ni vijisenti tuu, watu "wenye nchi" wana hela. Hiyo hakuimalizia angeunguza picha.

Hata Kagoda ingestukiwa kabla fungu halijatoka pamba pia zingetiwa masikioni.

Hali ilivyo kwa Kagoda ni uthibitisho King Maker alikuwa akifanya kazi ya wakuu.
Pasco,

Wacha mkuu, kelele hazijafanya kazi? Unadhani haziwakoseshi usingizi? Do you exactly know how much they're spending to stop what's going on?

Some people will become victims of this movement, but believe me; there's a day! They can fool some people for sometime but not all people all the times!
 
Kama nia ni kuona yupo jela labda muwaombe hao dada zenu lakini kwa makosa hayo mengine huyo mzee alikuwa ni daraja tu la akina Balali et al. wataendelea kumlinda kwa usanii hadi hapo roho itakapo uacha mwili.

kwani kuna tetesi nyingine za roho kuuacha mwili hivi karibuni?
 
Learned brazas wa kibongo bwana!!! Kila siku nimekuwa nikisisitiza kwamba sirikali inayoongozwa na msanii lazima iwe na watendaji uchwara na makanjanja!!

Haya tuliyaona wengine toka kitambo, ni muda tu bado, hata kina Daniel Yona, Mramba et al wote watakuwa acquitted soon!!

Watabaki kina Babu seya na walalahoi wengine wasiokuwa na network za maana hapa mjini!!

Mkuu,

Avatar yako inasema hayo maneno nili-BOLD
 
Bora ingekuwa wamekosea hati ya mashitaka kwa kesi ya namna nyingine. Wanamshitaki mtu kwa kutumia madaraka vibaya au kuzembea kazi, na katika hati hio hio mwanasheria anatenda kosa, anatumia madaraka yake vibaya kuandika hati isiyo sahihi na kumsulubu mtu mwingine! Na tena bila ya kujiandaa unamshika tena mtu huyo aliyeachiwa, na anaruhusiwa, ataharakisha kuandaa hati nyingine na mashitaka mengine na atakosea, mtuhumiwa atarudi kusota ndani.....haki iko wapi!!!!

Makelele usidhani ni makosa ya kitalamu mno sio ya kawaida! Unakumbuka Hakimu Mwakenja alivyokosea na kudai dhamana ya ajabu iliyozidi mali inayodaiwa kupotea kwa mara mbili! Alishindwa kusoma na kutafsiri sheria hata awatese watuhumiwa kiasi kile? Je Mwakenja na hawa wengine wako juu ya sheria, yaani wakikosea hawawajibishwi? Ole wako Mhasibu ukosee cheki upitishe nyongeza ya sifuri- hata ulie utateseka utatupwa jela kama mwizi, ole wako dereva usisinzie kidogo gari itoke barabarani imuumize mtu! Lakini Hakimu, Mwendesha Mshtaka, Polisi hata kama ni kuzusha tu wakuweke ndani wao ni zaidi! Ndivyo walivyo wanasheria, mahakama yetu, wako juu ya sheria.
 
si mnaona hawa Majaji wetu mi nikisemaga hawa wasomi wa enzi za nyerere bado wana amini sisi ni wapuuzi tu, huyu jamaa astahili dhamana wala uruma kwanza if you ask me there's only one place he belongs to, 'UKONGA' we do not send the right message to all those who have intentions of embezelling our assets . Message hapo ni kwamba iba vya kutosha uweze kununua loya yako, wa serikali na jaji atakaesimamia kesi ama sivyo utaumia.
Yaani kama kesi Ya Akasha kama mnakumbuka mtu anashikwa na tairi zimejaa madawa ya kulevya bado anaachiwa eti amna ushahidi- mpaka serikali iingilie kati ndio afungwe
 
Ndo inavyokuwa katika nchi ya watu wasio jua nini haki yao, wasomi wasio makini, wachumia tumbo. Aibu kwa PCCB itakoma lini??
 
...wananchi wanachezwa shere tu hapa, hakuna cha kesi za papa mafisadi wala dagaa tonge! ...hizi kesi zote 'zimamoto' safari ya kuelekea 2010. Uchaguzi huooo unakuja, waheshimiwa Mramba, Yona, Chenge na wengineo wote watasimama kugombea ubunge wakiwa raia huru...

Halafu huo mchezo wa kumbambikia kesi huyu mzee wa mahenge, ukomeshwe... "Ipo siku mshika mpini atanyang'anywa, akamatishwe makali na kuonja machungu!
 
Na afidiwe hiyo miezi miwili aliyokuwa nguvuni kwa wrong charges. Chonde chonde kodi yetu isitumike kuwafidia. Impossible. Viongozi wetu always wanatutumbukiza ktk matatizo. Laana hii...tutalipa fidia sana ktk kesi hizi za kipuuzi. Kangaroo Cases!
 
Walifanya makusudi, KUKOSEA hati ya mashtaka, ili baadaye aachiwe huru on the technicality ili asepe nchi. Kwani hatujui? Lakini kumbe PCCB walishashtukia dili. Jamaa angekuwa huru tu on bail, walishamkatia tiketi ya ndege. Tusingemuona tena! Haya, wanaosema JK hajui afanyalo waseme tena!
 
Back
Top Bottom