Liwalo na Liwe

BIG Banned

JF-Expert Member
May 4, 2012
262
71
Kutokana na kauli ya PM "Liwalo na Liwe" na muda mfupi kutokea kwa tukio la kutekwa na kuumizwa vibaya Daktari Ulimboka, Wataalam wa saikolojia wanasema neno hilo linahusiana na tukio hilo!, maana yake ni kwamba waziri mkuu pinda alikuwa anajua hiyo mipango hata kabla ya kutokea. Kama wapo wataalam wengine humu watusaidie kudhibitisha hilo. Katika hali ya kujitahidi kuficha suala hilo wanajitahidi kuepuka kuundwa kwa tume huru kuchunguza hilo jambo. Kwahiyo ukweli ni kwamba bila tume huru tusitarajie kupata majibu yoyote ya kuridhisha ya tukio hilo. kwahiyo hatuna budi kuwasapoti wanaharakati wetu wote wanaomba tume huru iundwe, bila kufanya hivyo kesho au kesho kutwa na wewe yanaweza kukutokea hayahaya na mambo yakawa hayahaya.

Nawasilisha!.
 
Wala ahitajiki mtaaramu wa digrii kitu kipo simpo hata mtoto wa chekechea hanakupa jibu .polisi wakina mtu kajinyonga uhuliza marehemu aligombana nanani jana ?.shughuli huanzia hapo utaisaidia polisi
 
Wala ahitajiki mtaaramu wa digrii kitu kipo simpo hata mtoto wa chekechea hanakupa jibu .polisi wakikuta mtu kajinyonga uhuliza marehemu aligombana na nani jana ?.shughuli huanzia hapo utaisaidia polisi. Ni mwizi kakamatwa na ngozi
 
Wala ahitajiki mtaaramu wa digrii kitu kipo simpo hata mtoto wa chekechea hanakupa jibu .polisi wakikuta mtu kajinyonga uhuliza marehemu aligombana na nani jana ?.shughuli huanzia hapo utaisaidia polisi. Ni mwizi kakamatwa na ngozi

lugha gongana!! au ndo ww mtuhumiwa???
 
Back
Top Bottom