Liwalo na liwe!@@

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
3091415673_1_3_ZVxZ5uaw.jpg
 
Kama hii ni kweli na si kashikizwa glass tu akiwa amelala, basi tuna kazi kubwa sana. Mungu atusaidie.:israel:
 
Siku hizi ngoshwe umefuliaaaaaaaaaaaaaaa

Labda umeshazeeeeeeka...

Hauko kama zamani sredi motomoto.....
 
Last edited by a moderator:
Acha kutudanganya huo si ulabu ni juice hii...
Kwani chupa za BEER zetu haziko hivyo...:hat:
 
Dogo analipa kodi huyu, kuna watu wazima ambao hawalipi kodi .... Huyu anahitaji hongera,
 
Photoshop sio mchezo! Kma kweli vile, kwa wataalamu kama ss tunajua bana. Hako ka mkono kalikoshikilia bilauri ni ka mtu mzima, wadau chunguzeni mtaona.... Tehetehetehetehe....
 
Back
Top Bottom