Living with HIV - 'Tender Moments'- Encouraging story

Mi sina uwezo wa kuingia youtube, ila nataka kujua. Naomba unipe hiyo habari kwa kifupi tafadhali.

Story kubwa ni kuwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi si mwisho wa maisha na wala hutakiwi kuona kuwa ndoto zako zote zime kufa. Huyu dada alikuwa na virusi vya ukimwi lakini aliingia kwenye mashindano ya Pop Idol na alitolewa kwenye tano bora na pia alijaribu kuzaa mtoto wake mwenyewe sema alifariki lakini alichukua hatua ya ku adopt mtoto. Pia ndoto yake ya kuwa super star wa muziki haikuzimika mpaka ikatimia. Japo alikuwa na maambukizi alikuwa anajipenda sana na pia alikuwa na furaha sana na wala hakuficha ugonjwa wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom