Livestation software install your computer

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF
fuata linlik www.livestation.com alafu nenda kwenye download click ikifunguka chagua window uipendayo kulingana na wewe unahitaji nini?

Kwa anayetaka Software ya livestation ipo poa sana mimi naitumia ku browsering radio au tv yoyote utaipata safi sana lakini kwa Tanzania Aibu hakuna hata radio au TV iliyokuwa Hewani WHY?????????????????????
 
Kuna radio moja tu nijuayo mimi Tanzania ambayo unaweza kuipata live online nayo ni RADIO MARIA kwa watu wa nje ya tz mnaweza kupata mapitizo ya magazeti ya tanzania kila siku sa mbili na nusu asubuhi. (EAT)link yao ni http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania-hq&TITLE=tanzania - hq.

Tuna kazi ndefu na kubwa kuifanya hii Tekonohama itumike kubadilisha maisha ya watu positively na kuwapatia taarifa. tatizo letu sote ni watu kutokupata taarifa (Information) in right time
 
Mtazamaji: Mimi nakuunga mkono mia kwa mia kwani Bongo tunashindwa kabisa kuweka Radio Online kwani TBC wapo wapi? haya hata Clouds FM nao wapo wapi tuwe na Radio zetu Live ili tuingatanga TZ
 
Back
Top Bottom