Liverpool vs Man U - Barclays EPL Sunday 23rd September 2012

Kwa kweli ni ushindi wa ngekewa tu kwa Man U ambayo muda wote wamekua wakichezewa robo uwanja hapa.
it is not fair kwa liverpool. stakeholders wametoa pesa yao kufanya usajili na kugharamia mambo kadha wa kadha only for a decision of one man (ref) to change all the effort based on nothing really. Not fair. Me think refs have too much power in football na kufanya watu wengine wajinga!
 
Huyu Refa ana mahaba ya wazi kabisa.........Inasikitisha....

Valencia kamchezea rafu Daniel Agger refa hajapiga filimbi, Valencia anajiangusha refa anatoa penati....

Jonjo Shelvey kapewa straight red card kwa kudaiwa kufanya tackle ya miguu miwili kitu ambcho si kweli.......RVP amecheza tackle ya makusudi ya miguu miwili anapewa yellow card........Pathetic
 
Pole mkuu, naelewa hasira hizi; walikua mabeki wawili, mmoja nyuma na mwingine ubavuni na mwisho wakajiangusha wenyewe n Valencia naye kuangukia mbele kidogo.

obstruction from behind??? wewe kweli hujui kabisa soccer

si lazima kucomment tu hata kama ni pumba mkuu
 
Huyu Refa ana mahaba ya wazi kabisa.........Inasikitisha....

Valencia kamchezea rafu Daniel Agger refa hajapiga filimbi, Valencia anajiangusha refa anatoa penati....

Jonjo Shelvey kapewa straight red card kwa kudaiwa kufanya tackle ya miguu miwili kitu ambcho si kweli.......RVP amecheza tackle ya makusudi ya miguu miwili anapewa yellow card........Pathetic
Ngosha naona leo tuko ukarasa mmoja..hahaa
 
Ni dakika ya 91 na Jeradi anaongoza safu ya mbele Liva na wanahaha karibia uwanja mzima; Man U bado ulimi nje vibaya sana.
 
Valencia aachia shuti kali ya mbali ila mabeki wa Liva ni balaa kwake na wala hana msaada wakati wote.
 
Ngosha naona leo tuko ukarasa mmoja..hahaa
Huyu Refa ni ni mpuuzi kabisa....Kazidi aisee......

Ndio maana siku hizi najiangalizia Bundesliga na Serie A mie..........Uingereza hakuna kitu zaidi ya promo za magazeti/Internet/TV.......Bora hata La Liga
 
I am inclined to belive Man U ni mafioso..wakicheza kwao wanapendelewa, wakicheza ugenini wanapendelewa! aibu
 
Commentators wanasema wazi hapa kwamba ALICHOKIFANYA REFA hadi penalti kupatikana NI AIBU TUPU na kweli ni aibu tupu hivo hivo.
 
Nilijua mtaongea sana mwisho mtakaa chini,haya sababu huwa haziwaishi
msimu uliopita ela haikutosha, mkaangulia pua na msimu huu Chelsea yenye Hazards za kutosha na Oscar winners Man U itaishia kuangukia pua,,ivo enjoy while it lasts
 
Back
Top Bottom