Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Washabkiki wa liverpol vipi jamani. najaribu kufauta uzi wa club yenu japo nipate news mbili tatu naona kimya. Au tayari timu imeshuka daraja na washabiki mmeamia timu nyingine.
Fufueni uzi wa club yenu msikatishwe tamaa kuwa kweneye zone ya hatari. Soka si matokeo tu.
Fufueni uzi wa club yenu msikatishwe tamaa kuwa kweneye zone ya hatari. Soka si matokeo tu.