Niaje aisee.....Karius anani disappoint na behaviour yake ya kutokucheza mipira ya cross, yaani hii ndio weakness yake kubwa kwa kila anayemchambua. Ananikumbusha ubovu wa David James kipindi yupo LFC yake cross alikua hachezi kabisaaa.
Ngoja nimpe muda, ila ubingwa nao nautamani sana msimu huu aisee.
Niko poa Mkuu, dah naona mna mpango wa kutubania ubingwa msimu huu. Sasa dawa ni kuwapiga tena mkija anfieldNiaje aisee.....
Uko pouwa mkuu?, za masiku?
Sizani km hilo litatokea tena.Niko poa Mkuu, dah naona mna mpango wa kutubania ubingwa msimu huu. Sasa dawa ni kuwapiga tena mkija anfield
Yaani tutakula sahani moja, ngoja tuoneSizani km hilo litatokea tena.
Maliza kwanza hii December fixtures ambayo naona ni ngumu sn kwako Mimi na wewe tukutane january 31.
Pamoja sn...Yaani tutakula sahani moja, ngoja tuone
Karius anani disappoint na behaviour yake ya kutokucheza mipira ya cross, yaani hii ndio weakness yake kubwa kwa kila anayemchambua. Ananikumbusha ubovu wa David James kipindi yupo LFC yeye nae kipindi kile cross alikua hachezi kabisaaa.
Ngoja nimpe muda, ila ubingwa nao nautamani sana msimu huu aisee.
Nop aisee kwa Karius is too much when it comes to crosses and corners, yani unaona kabisa hatoki kucheza cross ama kona wakati yule "mzembe mzembe" Migs ama Reina hawa walikua wanatoka na kupiga ngumi zile cross ziende mbali. Pamoja na kua na coaching staff mbaya ya makipa huwezi kuniaminisha kua eti kipa kucheza ama kutokucheza cross huwa anasubiri hadi akafundishwe mazoezini na kocha. Mkuu katika mpira kuna vitu hufanywa na players nje mazoezi ya makocha wao. Golie huwezi kukaa golini na kusema hutaki kucheza cross eti kisa kocha hajakufundisha ama style ya mafunzo ya kocha wako haikuruhusu kucheza mipira ya cross. Kuhusu swala la kudaka penalty, mi naamini penalty haina mafunzo yoyote ya msingi ni kipa mwenyewe kuamua either kua mtu wa ku guess na kuruka ama kusubiri mpira upigwe ndio aruke, uyo boya Migs kaanza kudaka penalty tokea akiwa sunderland chini ya kocha mwengine wa makipa.Mkuu Tatizo La Kuto Kucheza Mipira Ya Cross si Tatizo La Karius, Bali Nathubutu Kusema Ni Tatizo la Liverpool!
Hii inatokana Na Couching Style Ya Mkufunzi Wa Makipa... Ubora Pekee Wanaokuwa Nao Makipa Wa Liverpool Ni Ujanja Wa Kucheza Zile Penalty Kick Mfano Mdogo Alivyokuwa Dudek, Reina na Migno.... Hawa Walikuwa Kwa Kuatop Penalty Kick ni Balaa... Lakini ukija Kwenye Cross Wote Huwa Hawachezi...
Nishasema sana umu hendo hanalolote zaid ya pass za nyuma... Hana ufundi,muoga sana..To be honesty me bado nalia na Replacement ya Henderson kwanza ndo tuwaze big 4 Midfielder gani anamtegemea matip kua playmaker lol
Haya maneno ya kisiasa yanaudhi, aaagh! Chelsick wameshinda tena leo,Klopp said: “What can I say about the Bournemouth result other than for us it will serve as a lesson and we will take the information from it and develop as a team. There were so many positives from the performance and I cannot fault the players’ attitude or character. They gave us everything on the pitch, but in the end we didn’t get the job done and, of course, that is frustrating.
Matip has confirmed he will not go to Gabon for AFCON