prober ze good
Senior Member
- Aug 14, 2014
- 163
- 181
Ndo nilichokuwa nakingoja maana BR alikuwa anadharaulika sana ndo maana wakawa wanajiamulia tu kuhama kama ishu ya Sterling.Yes sir
Kocha kawa staa kuliko any player
Ndo nilichokuwa nakingoja maana BR alikuwa anadharaulika sana ndo maana wakawa wanajiamulia tu kuhama kama ishu ya Sterling.Yes sir
Kocha kawa staa kuliko any player
Ejaria is very talented,kama leo akiwa na siku nzuri uwanjani it ill give him massive confidence na sitashangaa kumuona akianza kugombania namba kikosi cha kwanza.
Ejaria was the BEST player on the pitch.
Vorm alikuwa na game nzuri the sad thing is..., he was on the losing side. Mimi naona Gini au Origi, pamoja na kuwa kwenye wing ila alifanya kazi kubwa kuliko Sturridge na kama Glassboy angekuwa vizuri zile chances mbili za origi he would have scored.Heading to the quarter...let see tutapangiwa na nani
Danny got MOTM but for me angetakiwa kuwa Vorm
Heading to the quarter...let see tutapangiwa na nani
Danny got MOTM but for me angetakiwa kuwa Vorm
Vorm alikuwa na game nzuri the sad thing is..., he was on the losing side. Mimi naona Gini au Origi, pamoja na kuwa kwenye wing ila alifanya kazi kubwa kuliko Sturridge na kama Glassboy angekuwa vizuri zile chances mbili za origi he would have scored.
Ejaria, very relaxed with ball at his feet ana mpira mlaini kama siyo muingereza vile hahahahhhahhaha ila Moreno bado jipu aisee