Thankx Lallan, Milner, Mane and Coutinho Kwa Mchango Wenu Uliopelekea Ushindi Mnono Kwa Leo! Salamu Kwa Swansea Next Tunakuja Kwanu Kujieka Sawa Kwa Man U! Ni Lazima Tuwaoneshe Man U Hile →→ "THIS IS ANFIELD" kwa Kuwabandua Vilivyo.
 
N
atamani Sana emre Chan aingie kwenye timu ILA sioni WA kumweka bench daa
Can hana mechi fitness nadhani ulimuona leo alipom-replace Henderson alicommit silly fouls ambazo kama wangekuwa na mpigaji mzuri wa free kick wangeweza kupata goli.

Henderson amekuwa mzuri kweli he's proving me wrong tofauti na misimu miwili iliyopita. Ule msimu wa 2013/2014 alikuwa kwenye form nzuri ukichanganya na timu
 
Can hana mechi fitness nadhani ulimuona leo alipom-replace Henderson alicommit silly fouls ambazo kama wangekuwa na mpigaji mzuri wa free kick wangeweza kupata goli.

Henderson amekuwa mzuri kweli he's proving me wrong tofauti na misimu miwili iliyopita. Ule msimu wa 2013/2014 alikuwa kwenye form nzuri ukichanganya na timu
sio we Tu hats mimi na baby fergie nilikuwa simkubali Sana ILA kwa sasa naweka akiba ya maneno kwa captain
 
Kwa sasa ninavutiwa zaidi na hii 4-3-3 ambayo Firmino anakuwa kama false no.9.Ingawa pia 4-2-3-1 ya kumuweka Origi au Sturridge tuliizoea na ni nzuri lakini naona huu mfumo wa sasa ni mzuri zaidi

Lallana amecope majukumu mapya kwa haraka na kwa usahihi.Amejihakikishia namba kwenye kikosi ambapo baada ya ujio wa Mane wengine walidhani Lallana atahangaika upande wa kulia.Klopp anastahili pongezi sana kuweza kuwabadilishia roles wachezaji na wakaoverperform.

Milner anazidi kuonyesha kuwa Klopp yupo sahihi kumuamini left back.Our defence is well improved.Klavan ni beki kwelikweli na Matip sio mtu wa mchezomchezo hata kidogo.Upande wa kulia Clyne is doing a fine job.Anashirikiana vizuri na Mane kufanya upande wetu wa kulia kuwa source ya magoli yetu mengi mpaka sasa.

Kiungo ya Wijnaldum na Hendo alongside Lallana imeonyesha kuwa inao uwezo wa kulinda na kushambulia wakati adui akiwa hajajiandaa.Wijnaldum ana hamu kweli ya kuregister goli lake la kwanza.
 
1474798681444.jpg

New dance

1474798697048.jpg


1474798722940.jpg


1474798732775.jpg


1474798744189.jpg
 
Back
Top Bottom