Combination ya coutinho,mane na firmino ni fruitfully kuliko lone striker either sturridge or origiJK kaisha anza kunikera
Fit again DS LAZIMA aanze Liverpool
Anamvunja moyo kijana huyu na atamu affect kisaikolojia
Firmihno kama fake striker sijawahi mkubali hata kidogo
I also think so...DS huwa anakaubinafsi fulani hivi ambako siyo fruitful in most cases.Combination ya coutinho,mane na firmino ni fruitfully kuliko lone striker either sturridge or origi
no update inamaana liverpool hampo???
watu tunaangalia mpira ww wacha keleleno update inamaana liverpool hampo???
Ngoja nirudi tena hapa nione kama mwaka huu ntakaa kwa muda hapa...We need a natural left back
Milner hadi augeuze mpira
Karibu mkuu...Ngoja nirudi tena hapa nione kama mwaka huu ntakaa kwa muda hapa...
Naona vijana wameshatupiamo kamoja.
Tunawatandika vigogo afu watoto wanatucharaza.... haka nadhani ni kalaana.Liverppol kama tuna homa za mara kwa mara. Tunashinda leo next game tunapoteza. Ila timu ipo vizuri. Matumaini yapo