MosDef....tupo pamoja sana hapo kwa Sakho.It will be the first dissapointment from Klopp for me if it really happen.Hata kama anakuja beki mwingine zaidi ya Sakho still sioni point ya kumuuza au kumloan mtu ambaye ni experienced kwenye timu na kiwango chake hakina shaka.

Hata ukimleta Sergio Ramos badala yake bado nitampinga Klopp kwenye hili.

hili mkuu halina ubishi ukisiliza maneno ya klopp inaonesha kabisa ni lazima Sakho aende kwa habari flani jana zilionesha Sunderland walikataa kumchukua so klopp atakuwa analazimisha hii move kivyovyote vile kabla dirisha kufungwa ... likifungwa tutegemee kumuona Sakho U23 kisha migomo mingi.
 
Klopp is also human being,expectation za LFC fans zilikuwa kubwa sana.Nilishasema ukija kufundisha EPL lazima ubadilike hata kama ulipata mafanikio kwenye ligi nyingine huku mambo ni tofauti kabisa.

He's still building a team, bado hatujafika pale tunapotaka kuwepo, so anatakiwa kuwa proffesional Aisee.

Sawa naelewa kuwa he's ruthless, lakin kwasasa anatakiwa aangalie zaidi ubora wa team tulionao, squad ya LFC bado inamiss vitu vingi kwenye upande wa ulinzi, sasa loaning out our best defender haiingii akilini kabisa. Sakho akiwepo at the back atleast 50% ya matatizo yetu ya ulinzi huwa yanapungua.

Our midfield is trash, our backline is not that decent and we're playing a CM katika upande wa left back (Milner)..then unakuja kusikia kuwa Sakho is about to be loaned out. Kwa hapa Klopp anakosea sana.

FSG are turning my dream manager into Wenger. Ile presser yake ya juzi alivyoulizwa kuhusu our midfield, majibu yake yalikuwa hayaridhishi hata kidogo.
 
MosDef....tupo pamoja sana hapo kwa Sakho.It will be the first dissapointment from Klopp for me if it really happen.Hata kama anakuja beki mwingine zaidi ya Sakho still sioni point ya kumuuza au kumloan mtu ambaye ni experienced kwenye timu na kiwango chake hakina shaka.

Hata ukimleta Sergio Ramos badala yake bado nitampinga Klopp kwenye hili.

Kwakeli kwenye hili suala la Sakho, nipo against kabisa na Klopp.

Ngoja tuone kama kutakuwa na suprises kabla ya window kufungwa.

Ila kwa Sakho, Klopp na wenzake wanakosea sana, na hili litaathili fans na players kwa ujumla..its ok to bin deadwoods but not our best players.
 
Kwa hili la sakho klop yuko deadly wrong aisee ni bora hata ange mloan stuarridge kuliko back timu yetu beki wote hawatii matumaini kabisa.
 
Yaani Mimi Najiuliza Defence Line Yetu Hii (Lovren) Tukikutana Na Mti Kama Ibra or Diego Costa What Will Happen?

Klopp is a "big games manager" hii ni tangu yupo Dortmund. So hata siku moja usiwe na wasiwasi LFC ikiwa inacheza na big teams kwenye EPL..uwe unashikilia moyo wako tukiwa tunacheza na hull city/Palace/WBA/Bournemouth etc coz chance za kupoteza ni 80% iwe home/away..
 
ukweli ni kweli tyu,. tukicheza na timu wachezaji tisa wapo nyuma ya mpira uuuuwi % kubwa ya kupoteza ipo na hii kitu imekolea kwenye kipindi cha BR", Na tukicheza na timu zenye uwezo wa kufunguka kucheza mpira kwetu kushinda ni rahisi...!! Ila bado nina Imani kuu na Klopp the Kop.

Ilimchukua muda gani kuibadili Dortmund kua headline kwenye front page za kina daily mirror.

Kati ya Kocha wa LFC aliyekabidhiwa timu kwenye wakati mgumu ni JK.Kwa sababu amepewa timu hamna player Mwenye kuijua LFC,... hamna Legend no team leader,..!! ni kazi kwa timu kubwa bila hivi vitu..

Nasema bado nina Imani kuu na Klopp regardless issue ya Sakho na Matokeo ya juzi.
Ila nimhase tyu JK falsafa ya Kuwatumia Vijana",..!! sio vijana tyu ila average young players,. kwa EPL bila experienced players hahahahahaaahahahh kwa EPL mgh..!!!

All in All tusubiri tuone kitakachotokea...
 
14051604_1264050933653819_7228423471318320632_n.jpg
 
Bado nina imani kubwa na Klopp
Liverpool fans are very weird
Tungekuwa poa kabisa kama tungefungwa na Arsenal then tungemfunga Burnley
Mm nipo OK sana kumfunga Arsenal zaidi ya kufungwa na Burnley
Tupo ktk track sahihi
Hawa Spurs na Leicester HAWAWEZI tufunga popote pale
 
Klopp is a "big games manager" hii ni tangu yupo Dortmund. So hata siku moja usiwe na wasiwasi LFC ikiwa inacheza na big teams kwenye EPL..uwe unashikilia moyo wako tukiwa tunacheza na hull city/Palace/WBA/Bournemouth etc coz chance za kupoteza ni 80% iwe home/away..

Our Jeckyl and Hyde season continues....
 
Ingawa James Rodriguez Ni Mchezaji Mzuri, Lakini Bado Sijaona Kuwa Ni Suluhisho Sahihi Kwa Timu Yetu Muda Huu, Chelsea Wamefiki Dau la £60 Million, Je Sisi Tutafikia Ngapi ili Kuwagalagaza Chelsea??
Tatizo Hasa La Timu Yetu ni CM & DM, CB & LB na sio CF kwani Cout, Fami na Mane wana ushirikiano Mzuri na Lallana wa Kuweza Kutupa Furaha Kila Gemu.

Klopp Tumia Muda Kuangalia Safu Ya Ulinzi Kwani Inatucost Hata Kama Tutashinda Mechi Basi Timu Haijiamini Mpaka Kifilimbi Cha Mwisho.
Screenshot_2016-08-26-08-14-57.png
 
Screenshot_2016-08-26-21-19-52.png

The Brazilian was not involved as the Reds eased to a 5-0 victory at Burton Albion in the EFL Cup earlier this week, due to a muscle issue.

And ahead of the trip to White Hart Lane, Jürgen Klopp explained that no risks will be taken with Coutinho after his training was disrupted.

The manager said: "The muscle was a little stiff. He felt something so we didn't want to take a risk [against Burton].

"We left him out of training until now. We have to make a decision on Friday with what we can do with him.

"It is not a situation to take any risk. We have to talk to the player. "From the medical side, it is not a big issue, but it was big enough to leave him out of the squad for Burton."
 
Back
Top Bottom