Klopp will be a failure at Liverpool.
Klopp anajua kazi yake vizuri sana....lakini nahisi ana kiburi tu...hii ligi ya Uingereza.... ni tofauti kidogo na ligi zingize za Ulaya...sasa kwa Koch makini lazima atambue hilo...watu wanahitaji Matokeo mazuri sio kuongeaa saaaana......

Klopp anapaswa kupunguza mbwembwe.... vinginevyo wale waingereza watamchenjia fasta...ata yule Van Ugali kushindwa pale kwa Manyumbu united ni kiburi chake tu..na sio kwamba hajui kufundisha mpira....

#YWNA#
 
Phil Jones is surplus of requirement hapo Man U
Huyu ningekuwa mm Klopp ninge bid
Acheze na Sakho game kama za Man u kwa Ibra na Chelsea kwa Costa
 
Phil Jones alitakiwa kucheza rugby. The guy is big na ni mzito hata kageuka
Ukimleta Anfield unatafuta tufungwe kila mechi
Bora hata Skirtl
 
mmeshaanza kumkataa tena??

Kwani ameshapata tayari wachezaji wake?

Kwikwii kwiiiiiii once a failure, you'll always be a failure

BBC Radio 5 live - In Short, Liverpool fan: 'Klopp is no better than Rodgers'

Rome was not built in 1 year
Klopp will continue to improve things at Antield. No need to panic. We still have 37 games to play
Whoever thinks Rodgers is better than Klopp then he needs to see a doctor/Psychiatrist!
We are Liverpool
The spirit of Bill Shankly and Joe Faggan shall endure
Ynwa
 
What i see is that klopp is not tempted to build his team through buying alone. According to him, the team should be built thru new players and hard work on the training pitch. That should take time, its not something that will result in success overnight. I still put my money on klopp to succeed mor than rodgers, and he did that in his first season by playing in two finals. Should he buy the whole new team? No. Is that even possible, NO! Lets give him sometime to build his team. There are still a lot of players he inherited from the previous manager and he is forced to work with them. The left back problem for example is something is aware of and admitted but said he havent found the right one till now. He isnt God but lets give him time.
 
Kina Pearce wanam-scapegoat Moreno, and at the same time they're backing Flanagan..they're both 24, kama unasema Flanno anahitaji muda, kwanini isiwe Moreno? And Moreno is miles better than Flanno.
mi nafikiri jwa sababu Flanno ni homeboy ndio mana wanampigia kelele sana
 
Some people huwa wanadhani kuwa Klopp hapaswi kukosolewa, he's a top manager, top man and a perfect man for the job BUT hiyo haokwepeshi sababu ya mimi kuto-question his decisions, after-all me ni supporter wa LFC.

Idea ya kutaka kumtoa Sakho kwa mkopo ni ya kipuuzi sana tena itakuwa ni ya kipuuzi zaid kama hakutakuwepo na signing ya CB mwingine mzuri zaidi ya Sakho, Na itakuwa ni idea mbaya zaidi kama tu Sakho ataondolewa kwa mkopo na Lucas kucover eneo la CB. Sijaumia na uamuzi wa Klopp kwasababu Sakho ni one of my fav LFC player, but nimeumia kwasababu Sakho is our best defender, there's no way Lovren/Matip/Klavan are any better than Sakho..na ubaya ni kwamba Sakho akiondoka tutabakia na 3 cbs..Lovren isn't good enough, Klavan is 31 (bought as a cover), And Gomez is just a kid (katoka kwenye ACL injury)..huwez ukanambia uamuzi wa kumtoa Sakho kwa mkopo una maana yoyote ile..

Hakuna tatizo kama unam-bin Sakho kama kutakuwepo na upgrade yoyote ile, but kuna hiyo upgrade? Je tunaonekana tupo kwenye market ya kutafuta CB mwingine? Kama hakuna CB mwingine anakuja, why loaning out Sakho? Am sorry kama ntaoffend watu, but Klopp is turning into Rodgers, analeta personal issues na players, ishu kwamba Sakho anahitaji match fitnes ni upuuzi tu, Sakho anatolewa kwa mkopo kwasababu ya ile ishu iliyotokea Kwenye tour USA..kama mchezaji anakuwa ame-misbehave unamuonya tu, lakini kumtoa kwa mkopo? Knowing that we're short in that area huo ni upuuzi, na siyo kwamba Sakho alifanya kosa kubwa kama wanayofanya "english players" mpaka ifikie hatua ya kusema unataka kumtoa kwa mkopo, na once Sakho akiondoka kwa mkopo LFC career yake ndiyo inakuwa imeishia hapo, there's no way mtu mwenye miaka 26 anatolewa kwa mkopo eti for match fitness.

Rodgers did the same thing kwa Agger na ikatucost a lot..leo hii unataka umtoe sakho kwa mkopo wakat una beki aina ya Lovren, when we signed Matip, kila mtu alikuwa anaamini kuwa Sakho-Matip ndiyo ingekuwa first choice partneship ya LFC..lakin sasa Matip anaenda kucheza na Lovren..(tutakuja kumkataa Matip)..Lovren anahitaji sana Cover na hiyo cover tunayoizungumzia ni Henderson (damn)..

Our defense is shit, tulikuwa tunajipa moyo kuwa Sakho akirudi atasaidiana na Matip at the back, jana asubuhi fanbase yote ya LFC ilikuwa na furaha Sakho kurudi mazoezini, then baadae tunakuja kuambiwa Klopp anataka kumtoa kwa mkopo, this is unacceptable kabisa.

Unaacha kubin mizigo kama kina Henderson unaenda kum-bin Sakho..yule Henderson ana-msaada gani kwenye team? Kiungo ambaye hawezi hata kupiga 40 yards passes..Sakho ndiyo alikuwa ball playing CB wetu na ndiye alikuwa great passer wa team kutokea nyuma, mara kibao ameanzisha mashambuliza kutokea nyuma, Sakho akiwepo huwez kuona kina Coutinho wakija chini kutafuta mipira mara kwa mara, leo hii tunamtoa kwa mkopo..kama unamtoa kwa mkopo atleast sign An upgrade, lakini it seems Lucas will cover that position, which is ni UPUUZI.

Hakuna aliyemoan Benteke alivyopigwa bei coz our attacking force is full, but binning Sakho with that shit defense? Hahaha you gotta love liverpool fc.
 
Yaani Mimi Najiuliza Defence Line Yetu Hii (Lovren) Tukikutana Na Mti Kama Ibra or Diego Costa What Will Happen?
 
Na Hii Ndiyo Timu Ya Leo Usiku Kwenye Formaly Known as "Capital One Cup" Mignolet, Clyne, Lovren, Matip, Milner, Henderson, Can, Lallana, Firmino, Mane, Origi.

Sijaona Sababu Ya Kuwa Mane Hapa Acheze Wakati Anatokea Kwenye Injury.
 
Mimi namuunga mkono kupanga kikosi imara kwa kuwa hatushiriki ligi za ulaya. Hapa namaanisha ucl na europa ligi. Matumaini yetu ni huku kwenye changanyikeni. Kule premier league kazi itakuwa ngumu sana. Baada ya kupoteza fainal mbili msimu uliopita sioni sababu ya kupuuza vikombe hivi vidogovidogo.
 
MosDef....tupo pamoja sana hapo kwa Sakho.It will be the first dissapointment from Klopp for me if it really happen.Hata kama anakuja beki mwingine zaidi ya Sakho still sioni point ya kumuuza au kumloan mtu ambaye ni experienced kwenye timu na kiwango chake hakina shaka.

Hata ukimleta Sergio Ramos badala yake bado nitampinga Klopp kwenye hili.
 
Back
Top Bottom