Hahahahahahahahahaha

ile game na WBA, aliingia mwishoni, basi kila akiomba Pasi kwa Branno, dogo anamnyima, manake alikuwa anajua nikimpa tu pasi atarudisha nyuma, basi alivyoona ananyimwa akaanza kumshautia dogo.. hahaha..
Mie hua anaponichekesha ni pale anaenda sehem mbal kidogo..sehem ambayo hamna wa kumkaba..then ananyayua mikono anaomba pasi haraka sana..then hapo moyon najisemea '' yes..labda kuna kitu anataka kufanya captain wangu...anapewa sasa hendo iyo pasi..but anairudisha pale pale ilipotoka with velocity of 2890m/s2
 
Hendo pasi anafikiria kwa sekunde 20 wapi apasue tiZama Mahmoud Dahoud ni sekunde mbili tu anapasua katikati ya watu huyo Captain wetu jina anachukua muda mpaka aweke gel nywele zake na mikono then avute sox vizuri akinyanyuka ndio atoe pasi.
 
hahahahahaha

Hendo is useless
 
Tukifanikiwa kumsign Dahoud, Midfield yetu yote itakuwq Sorted.
 
Off means deal ipo kizungu bhana wakisema the game is off eti game ndio inaanza hope you mean deal ndio inaanza stages za mwanzo
hahahahahaha

Hii deal sidhan kama itaendelea, inaonekana tumeachana nayo.

Au inaweza ikawa njia ya kuiamsha kambi ya Zielinski na owners wa Udinese..manake owners wa Udinese pia wana share kubwa pale Watford, sasa kwasasa naona hata deal ya dogo Sinclair kwenda Watford tumeisimamisha kwanza..nadhani kuna tatizo kati ya LFC na Owners wa Udinese.
 
Hapo upo clear sasa neno off kwa kimombo ni tofauti na off ya kuzima taa hahaha wao off ni kuanza kwa jambo hata bomu liki off ndio limelipuka kadhalika ndege iki takeoff ndio imepaa pengine uliamanisha deal la Zielinski limepaa/lime ota mbawa
 
hahahahah.

Umenichekesha sana brother.

"off" ina matumizi mengi sana brother.

Me nimetumia "off" inayosimama kama "Bring to an end" OR "discontinued"
 
8785f87c14aa896c0ea4bd733f58520f.jpg
 
PSG are KEEN on Coutinho According to Echo.

Gonna be a LOOOOOOOOONG summer ndugu zangu.
 
Hii habari nimeiona muda ila nikamute nisubiri hadi mwisho wake ila mbaya unakutana na habari kuwa kambi ya Cou iko positive na hii move unabaki na kafuraha kidogo kisa bado hawajaja kwenye club halafu unabaki na hasira tena kusikia chini ya kapeti Barca wamerudi kumtaka .... if he leave us sioni chance ya kupambana kwenye Epl tutakutana na wakati mgumu... wacha niendelee kusikiliza anthem yetu tu
 
Barca lazima waje maana iniesta is aging his ideal replacement is rafinha a injury prone fella. Cou will blossom in barca attacking flare ila shida ipo kwetu je do we have an ideal replacement?
 
Hapa no replacement yatatokea kama ya Suarez ... just think hata kumsign chillwel tuna-struggle ...labda tusubiri copa America na Euro ziishe tuone Aiyre & klopp watakachofanya
 
Hii habari nimeiona muda ila nikamute nisubiri hadi mwisho wake ila mbaya unakutana na habari kuwa kambi ya Cou iko positive na hii move unabaki na kafuraha kidogo kisa bado hawajaja kwenye club halafu unabaki na hasira tena kusikia chini ya kapeti Barca wamerudi kumtaka .... if he leave us sioni chance ya kupambana kwenye Epl tutakutana na wakati mgumu... wacha niendelee kusikiliza anthem yetu tu
Agent wake Kia anafanya kazi sahiv..

he's loyal to LFC, but I can see his Agent pushing hii move.

Na kwa jinsi Klopp alivyo, atauza faster sana, huwa anataka committed players.

So Agent anaweza kumcost Cou kama Aidy Ward alivyomcost Sterling..

Ushauri wangu kwa Cou, kama anataka kufika mbali, PSG isn't the right place.
 
Back
Top Bottom