I'd keep SmithHawa wakuuzwa
1 . smith
2.bogus
3.hendo
4.benteke
5.sahko
6.mignolet
7.ibe
8.lucas
9. Allen
Mi napenda henderson vile anavyonyanyua mikono anaomba pasi kama vile anataka kufanya kitu cha maana ...akipewa hapo hapo anairudisha ilipotokaYeah, manake anatafuta viungo sahiv..
sidhan kama atakuwa na nafasi kubwa next season.
HahahahahahahahahahaMi napenda henderson vile anavyonyanyua mikono anaomba pasi kama vile anataka kufanya kitu cha maana ...akipewa hapo hapo anairudisha ilipotoka
Toka nianze kuangalia mpira...i have never seen a player alie very accomplished in back passing...he has mastered iyo art..hata kina pirlo inabidi wasome kwa hendohahahahahahahahahahahahaha
Klopp mwenyewe HAMUAMINI kabisa.
Haha hah nimecheka sana Hendo will handover captaincy armband mcm ujao bench linamuhusu sana tu... Klop ngoja atujazie wachezaji wake wa ulaya mashariki kule ndo vipaji vimejaaHahahahahahahahahaha
ile game na WBA, aliingia mwishoni, basi kila akiomba Pasi kwa Branno, dogo anamnyima, manake alikuwa anajua nikimpa tu pasi atarudisha nyuma, basi alivyoona ananyimwa akaanza kumshautia dogo.. hahaha..
Uzuri wa Klopp hakuangalii usoni anapokuwa anasafisha stooges zilizopo LFC..Haha hah nimecheka sana Hendo will handover captaincy armband mcm ujao bench linamuhusu sana tu... Klop ngoja atujazie wachezaji wake wa ulaya mashariki kule ndo vipaji vimejaa
Dahoud The way anavyomanouver the ball inamfanya awe step ahead of his marker..he is leaving them for dead..he has pace on the ball. But he can be easily outpaced when off the ball..ni kama vile xavi.LOL, itabidi tufanye party humu, tukifanikisha deal ya Dahoud..tutakuwa tume-sort kila kitu kwenye Midfield yetu..KILA KITU yaani.
hahahahahahaha.Dahoud The way anavyomanouver the ball inamfanya awe step ahead of his marker..he is leaving them for dead..he has pace on the ball. But he can be easily outpaced when off the ball..ni kama vile xavi.
Yani mpira ukimpa mpira ashajua auweke wapi au ampe nani
Hakai na mpira ...ni mtoa pasi mzuri...na haraka
Kama xavi vile...he sees a move ahead of anyone else...plus huwez kulinganisha uwezo wa dahoud akiwa na mpira but kuna people wanasema mwepesi sana uyu dogo lkn watambue wepes hata fabrigas(19years old akiwa arsenal) verrati..xavi..etc.... hawa ni footballers sio wrestlers..wawe wagumu kwani wanaenda jihadi au
hamna mchezaj lain kama riyad mahrez dunian...but he is epl best player..modric alikua very lightweight ila he was epl best midfielder..fabrigas too.kuna position uwanjan unatakiwa kua physically strong na aggresive ila sio zote
Well said mateJamani kuna yule mchezaji wa Leverkusen na yuko National team ya Germany Karim Bellarabi atafaa sana katikati upande wa kushoto. Kwenye team ya Taifa yuko vizuri.
Mwingine huyo... Ibe, shabash, hakatak kubadirika. Mpira wake ule ule anao anao tu, usiokuwa na madhara kwa wapinzani.Hawa wakuuzwa
1 . smith
2.bogus
3.hendo
4.benteke
5.sahko
6.mignolet
7.ibe
8.lucas
9. Allen
Hahaaa...Mi napenda henderson vile anavyonyanyua mikono anaomba pasi kama vile anataka kufanya kitu cha maana ...akipewa hapo hapo anairudisha ilipotoka
Kwenye mpira kila aina ya mchezaj anahitajika, mgumu, mbishi, muhuni, mlaini.. Lazima awepo mchezaji mwenye mnyumbulikoDahoud The way anavyomanouver the ball inamfanya awe step ahead of his marker..he is leaving them for dead..he has pace on the ball. But he can be easily outpaced when off the ball..ni kama vile xavi.
Yani mpira ukimpa mpira ashajua auweke wapi au ampe nani
Hakai na mpira ...ni mtoa pasi mzuri...na haraka
Kama xavi vile...he sees a move ahead of anyone else...plus huwez kulinganisha uwezo wa dahoud akiwa na mpira but kuna people wanasema mwepesi sana uyu dogo lkn watambue wepes hata fabrigas(19years old akiwa arsenal) verrati..xavi..etc.... hawa ni footballers sio wrestlers..wawe wagumu kwani wanaenda jihadi au
hamna mchezaj lain kama riyad mahrez dunian...but he is epl best player..modric alikua very lightweight ila he was epl best midfielder..fabrigas too.kuna position uwanjan unatakiwa kua physically strong na aggresive ila sio zote
Karibu Man U in Advance, bado Red Ile Ile.... itakuwa chaguo sahihihii ni kweli mtani
hahaha, anaondoka dogo.Mwingine huyo... Ibe, shabash, hakatak kubadirika. Mpira wake ule ule anao anao tu, usiokuwa na madhara kwa wapinzani.