Klopp anapaswa kuifanyia kazi defence,hawa wachezaji enzi za Rodgers mbona hawakufungwa magoli ya kijinga hivi,nini kimetokea?
defense ya LFC ni mbovu tangu 2012, msimu wa 2013/2014 ndo ilikuwa mbovu zaidi, (50+ goals tuliruhusu) but SAS ndo ilikuwa inaCover huo udhaifu..

msimu uliopita huyo Migs alikuwa anafungwa silly goals mpaka Rodgers akamdrop..

tatizo la defence kwa LFC linaanzia kwenye kiungo..hakuna kiungo wa maana pale, team inajengwa kuanzia kwenye kiungo.. unaona kina Busquet wanavyoficha udhaifu wa Pique/Masch..au kina Kante na Drinkwater wanavyoficha udhaifu wa Kina Morgan (ulimuona last season). and on top of all, A great GK huwa anaipa Back-line yake confidence (De Gea, Kasper, Adrian, Butland, Lloris, Cech, hart etc)...LFC tuna Migs, jamaa hawez kuzicheza Coners, hawez kuzicheza 1 to1s etc, yaani hawez kusave kitu, mabek wakishindwa kuucheza mpira, ujue ni goal.

nakubali kuwa hatujawahi kuwa na Calbre ya CBs wazuri tangu kina Hyypia, Carra, Agger etc waondoke, but haiitaji kufikiria mara mbili kujua kwamba Mignolet ndo tatizo kwenye back-line yetu.
 
Muda si mrefu hata Chelsea watatukuta na kutupita..mignolet ndicho anachotaka
Chelsea wasingekuwa wanabottle games zao, wangekuwa wametuacha mbali sahiv...tena bora wenzetu matatizo yao ni ya kiujumla (form)..siye kila weekend mtu mmoja anatucost..kila WEEKEND..

nasubiria atucost kwenye COC final..

and Captain wetu anashindwa hata kuongea na jamaa..atleast SG tried kurudisha confidence ya jamaa..
 
by the time timu ipo uwanjani inatoa draw na sunderland ya 2-2....klopp alikua hospital akifanyiwa surgery ya kidole tumbo.....surgery imefanikiwa vizuri......get well soon klopp
 
shit,that's what....sahko in defence...shocking....winning 2-0...some off supporters leave in protest against the hike in ticket prices next season in the 77th min.....people are accusing fans for leaving as a result in Sunderland scoring 2 goals....but it doesn't matter how many fans are in the stadium...the players should give 100%...if there not willing to fight for our team then they should leave....Simone mignolet was shit yet again....defensive errors by sakho...getting muscled of the ball by Defoe....wtf....sakho is 6'4"...big guy.....shit get rid...oh well roll on tue,west ham FA CUP REPLAY.
 
Mignolet kapigiwa mashuti 19 on target, karuhusu mabao 12..hahah

analipwa 90k per week.
Infact mignolet must be put to de bench n gv ward a chance,also sakho to de reserve side 4 de kids to show him hw to defend n caulker must tak his place..Henderson n emere can must also be sideline 4 dem to pick up..branagan n texiera in.
 
shit,that's what....sahko in defence...shocking....winning 2-0...some off supporters leave in protest against the hike in ticket prices next season in the 77th min.....people are accusing fans for leaving as a result in Sunderland scoring 2 goals....but it doesn't matter how many fans are in the stadium...the players should give 100%...if there not willing to fight for our team then they should leave....Simone mignolet was shit yet again....defensive errors by sakho...getting muscled of the ball by Defoe....wtf....sakho is 6'4"...big guy.....shit get rid...oh well roll on tue,west ham FA CUP REPLAY.

Shhhhsshhh.....ongea taratibu kuhusu Sakho kaka, wenyewe watakusikia!

Sakho is "untouchable" kaka!!
 
Shhhhsshhh.....ongea taratibu kuhusu Sakho kaka, wenyewe watakusikia!

Sakho is "untouchable" kaka!!
Lol tisha Take a look at the back four
Dnt knw why nd how sakho keeps his place in the team ahead of caulker
It's better to loose with young nd upcoming players like illori than to play kolo.
Nd the worst of it all, to wake up every match day to realise mignolet has signed a contract extension nd ter stergen is freezing on the Barca bench
 
Back
Top Bottom