Live Video Streaming

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
Hey guys nambeni msaada. nataka kujua kwa undani kuhusu live video streaming. Lengo ni kujua technology zipi zinahitajika interms of hardware and software. Kama mna link za tutorials ningefurahiu kama mngenipatia link

Wenu katika ujenzi wa taifa
 
Nimewahi kutoa point kuhusu kitu kamahiki kule Afroit,unaweza kukipata Hapa

Kimsingi Streaming inatumia multicasting,ambayo ni kitendo cha kutuma packet kwenda kwa member zaidi ya mmoja ila tu ni kwa wale waliojiunga,inatumia reserved IP block aka Class D ambapo inarange 224.0.0.0 hadi 239.255.255.255.

Ila sijajua wewe unataka kujua Streaming kama designer au mtumiaji?
Kwa designer ambaye sie anayetumia try and error inabidi mambo ya network yawe yamepanda,nakushauri angalia hivi vitabu vinavyopatikana Hapa

Nawakiisha kwa uchache!
 
Sawa mzee. Sasa unaonaje tukiwasiliana zaidi nataka nikupe dili la consultancy. Kuna client ambaye ni tv statio anataka kwenda hewani kupitia kwenye web
 
Back
Top Bottom