Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

berko,j abdul,mwasika,nadir,twite,chuji,nizar,domayo,bahanus/tegete,kavumbagu,niyonzima
Hapo badala ya Tegete alitakiwa awepo Kiiza, naona ujinga wa Msuva utaicost Yanga kwenye hii mechi, Dogo angekuwemo angeleta changamoto, kulia Shamte Ally, kushoto Simon Msuva kati Kiiza na Kavumbagu au na Bahanuzi sasa wanayanga mngekuwa mnashangilia tu.
 
Ohoo mtu mwingine aendelee ku'report jamani,huu ushakuwa us***e
 
niki ripoti kuto uwanja wa kaitaba mtanange kati ya yeboyebo na kagera sugar na mpira umemalizika kwa timu kuto kufungana..hahaahahahaha sitaki maswali
 
Mambo yashaharibika huko,Femi Felix anaipatia Kagera Sugar goli la kutangulia
 
Umekunywa bia zangu nasema utanibeba leo,wakola waitu kagera sugar.
 
Masikini Yanga matokeo yakibaki hivi hivi sijui watamtoa kafara nani safari hii.
 
hahahahahhahahahhhahhahaahahhaahhahh refa anawapendelea kagera na wanajipatia goli hapa
 
Kwenye hizi hatua za mwanzo za ligi, pumba itaelea pale juu kwenye msimamo. Hii pumba baadaye kidogo kidogo itaanza kulowa na kushuka chini kwenye sehemu yake huku cream (Yanga Afrika) ikipanda tartiibu pale juu mahala pake ilipopazoea!

Kwa hiyo pumba zilizopo pale juu kwenye msimamo wa ligi kwa sasa ziendelee kukesha kwa kusheherekea hako ka-chance ka kukaa kwenye apex kabla ya mwenye napo hajaja!
 
ndo maana ukatukana ansee bwana...

Ungekuwa wewe ungefanya nini,Kagera wanapokezana kujiangusha tu akianguka Kanoni akainuka anaanguka Mkina,akiinuka anaanguka Femi nani sijui...huo ni nini kama si hicho nilichoandika hapo
 
Mambo yashaharibika huko,Femi Felix anaipatia Kagera Sugar goli la kutangulia
mkuu ukuta Berlin umetoboka tena!!!! duh! Lkn ndo kawaida Kagera ni mbali inawezekana MANJI amechelewa kutuma mkwanja si unajua tena mambo ya system.
 
Back
Top Bottom