Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Bado Kiongozi,lkn 2nd half hatuwaachi,tutacheza mpira kama ule wa juzi 2nd half
Hamuwaachi kwani wao hawajajiandaa?
Bado Kiongozi,lkn 2nd half hatuwaachi,tutacheza mpira kama ule wa juzi 2nd half
Half time 0 - 0
Mtani mie nawaombea mpate draw mechi zote za kanda ya ziwa tena za bila magoli, siwaombei mfungwe lakini siombei mshinde pia maana mtajidai mno ukizingatia mwaka jana mlipoteza zote.Mtani kumbe upo,naona unasikilizia tutapunguza gap kwa magoli mangapi...anyway hao wote uliowataja hamuwamiliki tena mlishawauza,lkn Mkina na Salum Kanoni kumbuka wapo Kagera on loan hivyo bado wapo kwenye payroll yenu
Yanga tutakua tunaonewa na hawa marefa,inakuaje hzi timu ndogo zinatusumbua?tumetumia hela nying kusajili,usajili uliokua bora kuliko timu yoyote,lakini ndo hvo,droo 2,2mefungwa 1 tumewin 2,cjui na hii kma tutatoka,mbna mtani ajafungwa?hz ni hira za marefa na tff tu.
Hamuwaachi kwani wao hawajajiandaa?
Game ishaanza 2nd half hapa
...............sijui ni lafudhi ya kiswahili au vipi hila sio hira, na pamoja na hayo inaonekana hujiamini na timu yako kama ndiyo wengi mko hivyo mtapata presha..... mbona bado mechi nyingi?
Mkuu nipe kikosi chenu halafu nikwambie kama mtashinda au la.Game ishaanza 2nd half hapa
Tupo sana, tukusaidie nini?vipi yanga leo mpo?
Kuanzia leo natangaza rasmi kuhama timu,nahamia simba.. yanga ful mastress.
Mkuu nipe kikosi chenu halafu nikwambie kama mtashinda au la.
Halafu Yanga mna bahati mbaya kweli, Fred Felix Minziro Karaihya Majeshi baba Isaya Kagera sio timu ya nyumbani kwao kweli, Hamis Kiiza Diego, Haruna Niyonzima Fabregas, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu sio majirani na hii timu kweli hawa wanaweza wakaihujumu timu ya wananchi.