Live updates: Uzinduzi wa matawi ya CBE na DIT, hapa Don Bosko, Upanga...

Mkuu kwa updates wewe ni kiboko,sijui mafunzo umechukulia wapi na mimi nijiunge.Hakika utadhani niko ukumbini ingawa niko Zambia.
 
Anaelezea Felix Mrema, aliwahi mdharau, na kutamka kua ataenda pumzika Italy na kuja wakati wa kupiga kura..
 
Anatolea mfano wa Nasari alimuahidi kama angeshinda kura za maoni, angempa milioni 10..
 
Inabidi CDM waongeze kasi, hii kasi hairidhishi kwani kuna maeneo mengi yanahitaji hii huduma ya M4C kwa sana.
 
Anasema, vijana wabadilike, waanze kufikiria vitu vizito..
Hata CDM ikiingia madarakani, bila vijana kubadilika, ni kazi bure..
 
Anasema CCM imelegea.. Tuzidi endeleza kasi hii mpaka 2015.. Anasema vijana wawe na commitment..
 
Anasema miaka ya nyuma huko kusini akina mzee Ndesamburo walipata tabu hata gest zilikua zinawakataa..
 
Anasema JK hajamkomoa kwa kumpokönya ubunge.. Ni posho za msimu tu..
Maisha yake yanasonga kama kawaida..
 
Back
Top Bottom