Live updates: Uzinduzi wa matawi ya CBE na DIT, hapa Don Bosko, Upanga...

Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..

Endeleeni kutuwakilisha huko,sisi tutawawakilisha huku street M4C daima kilele 2015
 
Anampönda NAPE, kwa kuendelea kuendeleza dhambi hii ya udini.. Anamwita ni vuvuzela..
 
Anaponda CCM kwa kupandikiza mbegu ya udini, unaligawa taifa hili..

Magamba hawana tena jipya wamebaki kufuata nyayo za Chadema,hawatakawia utaona wamemtuma kijana wao wa itikadi siku za usoni.Chadema go go go M4C daima
 
Tuoeni habari, sisi waumini wa chadema tunapenda habari kama hizi.
zingine hizi hapa

Mgombea udiwani kata ya Nyasa kada mkubwa wa CUF Yusufu Omari Ally leo amehama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa chadema kata ya Migongo Masasi Mtwara (Kassimu Bingwe)
 
Anapönda safari za rais, zinatumia pesa nyingi sana, zingeweza okoa vifo vya akinamama kujifungua..
 
Anamponda SHIBUDA, Hatoweza vumiliwa kwenye chama.. Vijana wamuunge mkono ili aondolewe..
 
Anaponda wizi wa mawaziri, rais kuwalinda kwa kusema ni upepo tu.. Hasa wizi wa TWIGA..
 
Amemaliza kamanda HECHE, anaingia GB LEMA..
Anashangiliwa na ukumbi wote.. Wanaimba jembe, jembe...
 
Ameanza kwa kusema, kua amehamia DAR, Moja kwa moja, anataka aibadilishe iwe kama ARUSHA..
 
Anasema yeye ni mb aliyeenda rikizo..
Anasema amemwandikia rais waraka vol 1,
angejibu angempelekea waraka vol2..
 
Anawaondoa hofu wanafunzi, waache uoga wa kuogopa makachero wa usalama wa taifa na polisi..
 
Back
Top Bottom