Live updates: Uzinduzi wa matawi ya CBE na DIT, hapa Don Bosko, Upanga...

Iyo ni dar au? Manake hata mwanza cku hiz tuna cbe na dit. Kila la kheri makamanda.
 
Mpaka sasa tunaendelea subiri, makamanda hawajaingia eneo la tukio, vijana wanatoa burudani, kadi, skafu na gwanda zinauzwa kama njugu..
Kamanda, ni Cbe na Dit hapa DAR..
 
Halafu ukisema tu uzinduzi wa matawi bila kufafanua hueleweki.

Weka title inayojitosheleza!!
 
Leo kunauzinduzi wa matawi ya Chadema, katika vyuo vya Cbe na Dit,
mgeni rasmi anataegemewa kuwa Dr SLAA, akiambatana na makamanda wengine..
 
Msanii ambae ni mwanafunzi wa Dit, amezindua CD yake yenye nyimbo mbalimbali za Chadema..
Pipoooz
 
Msanii ambae ni mwanafunzi wa Dit, amezindua CD yake yenye nyimbo mbalimbali za Chadema..
Pipoooz
That's great!! Wakati Nape anaalika wasanii waimbe kuvutia watu kwenda mkutanoni kwa makamanda wasanii wanaburudisha kwa nyimbo za ukombozi...
Mbona 2015 ni mbali sana wajameni
 
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk
pipoooz..

Hapo kwenye
red; si tumejulishwa humu humu kwamba Lema leo yuko Iringa? Huyu jamaa kweli ni noma; alivyowavuruga magamba anastahili Ph.D. ya heshima.
 
Hapo kwenye
red; si tumejulishwa humu humu kwamba Lema leo yuko Iringa? Huyu jamaa kweli ni noma; alivyowavuruga magamba anastahili Ph.D. ya heshima.

LEMA ni kiongozi jasiri sana.. Hakika hili ni jembe..
 
Msanii ambae ni mwanafunzi wa Dit, amezindua CD yake yenye nyimbo mbalimbali za Chadema..
Pipoooz

Hakika nimeipenda hiyo. Taifa litakombolewa na kizazi hiki; kizazi cha vijana na watoto wanaoinukia. Tusitegemee akina Mgimwa watuletee lolote la maana - Budget aliyosoma juzi imesha-fail kabla hata haijaanza.
 
Hapo kwenye
red; si tumejulishwa humu humu kwamba Lema leo yuko Iringa? Huyu jamaa kweli ni noma; alivyowavuruga magamba anastahili Ph.D. ya heshima.

Hilo jembe najipanga kulishusha Ukonga ili liyavue magamba ya kutosha. nyinyiem wakilisikia mahali matumbo yanawaunguruma na kuanza safari za mara kwa mara kuelekea msalani.
 
Mpaka sasa, bado tunaendelea msubiria mgeni rasmi,
kikao kinaendelea, viongozi wa CDM tawi la DIT, wanaendelea toa historia na maendeleo ya tawi lao la DIT..
Vijana wanaendelea miminika ukumbini, haijapata tokea.. Wamekubali kuja bila kupewa chochote..
Pipooooz..
 
Mgombea ubunge wa Mbozi mashariki,
mwaka 2010, mr Mtera Mwampamba ameanza toa speech..
Anamlaumu Zambi, alimfanyia dhambi uchaguzi mkuu..
 
Ni kijana anaejiamini sana, anatoa moyo kwa vijana wajiamini, waweze kugombea kwenye chaguzi mbalimbali..
 
Back
Top Bottom