Live UPDATES: UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA DARAJA MBILI, ARUSHA.

kama wewe ni wakala mchunge sana wakala wa ccm,cuf na msimamizi wa tume wote lao moja..
kamanda kwa kuwa huo ni ukanda wako natarajia usogee karibu na kutupa updates na pia kuwatahadharisha makamanda wanaosimamia kura zetu mkuu! huwa na appreciate sana kazi yako!
 
Mkuu Crashwise siko kwenye uwakala ila nimeamua ku-volunteer na ku-mobilize vijana tulinde kura. Tuko hapa kuiadabisha CCM.
Safi sana mkuu hawa majambazi usipo jipanga wanawaliza mchana kweupe nakumbuka uchaguzi wa Arumeru kuna mwenyekiti wa mtaa alijidai kutishia watu vijana walimfanyiakazi natumaini hata kaa arudia ujinga huo...
 
Back
Top Bottom