Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,754
- Thread starter
- #81
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Wakuu mbona wachezaji wetu wengi wana majina ya kiislam?au wa dini hiyo ni wachezaji wazuri?
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Wakuu mbona wachezaji wetu wengi wana majina ya kiislam?au wa dini hiyo ni wachezaji wazuri?
Twiga Stars 5-2 NamibiaTupe final result
Yap mkuu...Wauzri sana hawa mabinti....Hii ni timu pekee ya soka nchini ambayo hutuwakilisha kwenye mashindano makubwa barani Afrika na mara zote hujitahidi...
Tayari timu hii imeshiriki AFCON ya wanawake, COSAFA ya wanawake(walialikwa) na All Africa games......Na nina imani mwezi Novemba watatupeleka Equtorial Guinea hawa....Cha msingi ni kuelekeza nguvu zote kwa timu hii,achana na habari za Taifa Stars ambao hawana faida yoyote kwa michezo nchini
Tupe final result
Twiga Stars 5-2 Namibia
Aggregate: Twiga Stars 7-2 Nambia
Twiga watakutana na mshindi wa mechi ya Misri na Ethiopia
Twiga Stars 5-2 Namibia
Aggregate: Twiga Stars 7-2 Nambia
Twiga watakutana na mshindi wa mechi ya Misri na Ethiopia
Misri na Ethiopia sio wazuri kama unavyodhani......Twiga Stars ni wazuri kuliko hizo timuHapo ndiyo mwisho wa safari.