Live Updates: SIMBA Sports Club vs TP Mazembe

Kwa kweli hali ni mbaya, washabiki hata kushangilia hawawezi!!
 
mimi ni yanga ! Huwezi kunilazimisha nimshangilie simba huko ni kuua demokrasia tuacheni tuizomee simba ili nadhani itawasaidia zaidi
Achana na ushabiki wa uyanga na usimba, hata mimi ni yanga damu, tumetolewa shirikisho kilichobaki ni kutanguliza uzalendo na kuishaingilia simba, mazembe hatuna undugu nayo, tubadilike wabongo soka letu likue. Kwa sasa Simba wanapeperusha bendera ya Tz na Mazembe wanapeperusha ya Congo. Ni wakati wa kuungana kama watanzania.
 
Kwenye soka lolote linawezekana, ila Simba wana hali ngumu zaidi mpaka sasa
Its Half time Simba 0 - 1 TP Mazembe
Kwakweli hapa nasubiria maajabu ya soka yatokee,kimchezo simba wamecheza vizuri ila tumezidiwa kimbinu maana ishu sio vipaji tu bali mbinu za kiweledi ambazo kwa michuano mazembe waliyoshiriki hatuwawezi ingawa vipaji vya wachezaji kama vinalingana.
 
Kwenye soka lolote linawezekana, ila Simba wana hali ngumu zaidi mpaka sasa
Its Half time Simba 0 - 1 TP Mazembe

Ahsante mkuu kwa updates. Nimeota Simba 4 - 1 Mazembe, the issue is whether this can be possible.
 
Achana na ushabiki wa uyanga na usimba, hata mimi ni yanga damu, tumetolewa shirikisho kilichobaki ni kutanguliza uzalendo na kuishaingilia simba, mazembe hatuna undugu nayo, tubadilike wabongo soka letu likue. Kwa sasa Simba wanapeperusha bendera ya Tz na Mazembe wanapeperusha ya Congo. Ni wakati wa kuungana kama watanzania.

Acha upuuzi...
Uzalendo uanzie kwenye EPA, Dowans na mikataba mibovu inayoligharimu taifa kila kukicha.

Acha watu washangilie orchestre TP Mazembe musica kwa raha zao.
mlivyowashangilia wale jamaa tuliodroo nao hapa na kwenda kututoa kwao hamkuujuwa uzalendo?

Acha unafiki wako
 
Achana na ushabiki wa uyanga na usimba, hata mimi ni yanga damu, tumetolewa shirikisho kilichobaki ni kutanguliza uzalendo na kuishaingilia simba, mazembe hatuna undugu nayo, tubadilike wabongo soka letu likue. Kwa sasa Simba wanapeperusha bendera ya Tz na Mazembe wanapeperusha ya Congo. Ni wakati wa kuungana kama watanzania.
I really like this comment...................
 
Simba biko aye? muliwaza TP ni ba musician pekee? Banapigaga na kabumbu byee kabisa, leo mutasikia butamu leo! bataawapiga! hapo hapo kunyumba
 
Mechi ina matumaini, Simba wanamiliki na pia wanafika golini, ingawa kupata goli 3 bila kufungwa ni ishu nyingine. Ochan, Okwi, Mgosi na Samatta kazi nzuri...
 
nasikitika simba tumefungwa so far

Sijui tutegemee nini kipindi cha pili, ila nadhani wabongo tunaoenda mpirani ni lazima tufundishwa kushangilia... mijitu yetu ipo uwanjani imenuna hadi inanuka midomo
 
katika mazingira halisi phiri sijui atafanya nini zaidi ya wachezaji kuamua liwalo liwe sasa mbele kwa mbele mpaka kieleweke
 
katika mazingira halisi phiri sijui atafanya nini zaidi ya wachezaji kuamua liwalo liwe sasa mbele kwa mbele mpaka kieleweke
Kocha ananafasi yake tena kubwa, angalia jana mpaka dkk 65 wako nyuma goli 2 angalia kilicho fata..
 
Back
Top Bottom