Pengo amesepa,ameogopa kwenda kumzika boss wake wa zamani!
Ndio amefariki or what coz (1912-1997) inanichanganya coz now ni 2012.
Mkuu hapo kwenye red unahakika ulichoandika?Kwa taarifa: Kituo Kikuu cha Polisi Bukoba kimeangaliana na Kanisa kuu la Bukoba utakapozikwa rasmi mwili wa Kardinali Rugambwa.
Mimi kama wewe sielewi kinachoendelea.
Maandamano ya kupeleka mwili ya Kardinali Rugambwa katika kanisa kuu la Bukoba kutoka Kanisa la Kashozi yanaendelea.
Wanaweza kuwasili baada ya saa moja kuanzia sasa kutokana na wingi wa watu waliojipanga barabarani huku magari yakienda taratibu sana.
Ndio amefariki or what coz (1912-1997) inanichanganya coz now ni 2012.
Asante sana mkuu ndo kwanza naipata, nimesikia kuwa Rutechura ameteuliwa kuwa Monsignor wa nne wa Jimbo la Bukoba. Kwasasa ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Africa mashariki na Kati (CUEA), Kuna Justinian, Bamanyisa na David Mubirigi nao ni mamonsignor. Mubirigi alikuwa rector wa Seminari kuu ya Segerea. Kwasasa ni Makamu wa baba Askofu wa jimbo la Bukoba!!!!!ataongea muda bado upo, sikilizemi live Radio Maria (Tanzania) - 89.1 FM Arusha, Arusha Region - Listen Online