Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

hahahaha limekushuka.

Ile technic yenu mpya ya kuumiza beki yeyote anayeonekana kizingiti kwenye mashambulizi yenu naona inawasaidia sana,baada ya kumwumiza yule beki wao mahiri ndo mkafanikiwa kufunga bao la 2
 
leo utayasema yote usiache kutuhabarisha tu maana tunategemea hapa JF..
 
Simba wameanza na Sub,wamemtoa Edo Boy na kumwingiza yule Mvuta bangi wao
 
Sijui leo atakuwa ameingia na maagizo gani mana'ke juzi aliingia na maagizo ya Yondani
 
Jamani msisahau Simba inaongoza kwa mabao 2 - 1,yote yamefungwa na Amri Kiemba....pale mbele Simba leo wamesimamisha Ma'pro watupu Okwi na Sunzu,lkn bado imebidi scoring ifanywe na Kiemba
 
Yellow card kwa mchezaji mmoja wa Oljoro kwa kumchezea rafu Dogo Mkude
 
Hawa Oljoro inawezekana wakawa wana'concetrate na kushangaa hizo nyasi za Taifa hapo,haiwezekani wakawa wanashambuliwa namna hii
 
Okwi anatafutiwa goli kwa udi na uvumba,faulo zote anapiga yeye, dizaini hizi hata ikitokea penalt lazima atapewa yeye
 
.....kwani ulisikia wapi ktk kabumbu lazima afunge forward tuu ? Kwani nyie zile mechi walizocheza maproo wote watano, akiwemo yule choko Kavimbivu, as a striker alifunga mangapi ? Okwi anawakosesha usingizi na ndiyo maana Manji ilibidi zimtoke ili apewe ile red card !!

Mbona unaongea ugoro kama una umemeza soksi za Manji ??
 
Jamani msisahau Simba inaongoza kwa mabao 2 - 1,yote yamefungwa na Amri Kiemba....pale mbele Simba leo wamesimamisha Ma'pro watupu Okwi na Sunzu,lkn bado imebidi scoring ifanywe na Kiemba
...wachezaji wa Simba kila mmoja anawajibika kufunga.
 
Mibangi anashindwa kumalizia kazi nzuri ya Mkude,anapiga nje akiwa yeye na kipa...nafikiri alikuwa anafikiria mguu wa Yondani ule
 
Simba wamefanya sub nyingine,ametoka Paul Ngalema(dizaini ameumia) ameingia Kigi Makassy
 
Dah JKT Oljoro chupuchupu kusawazisha hapa,mpira umetoka nje imekuwa goalkick
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom