live up date.M4C dodomo

Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano

Uliza uambiwe tabata kulikua na watu wengi sana, Lema ni noma ningekupa picha ila natumia simu najalibu ku-upload inagoma
 
Mkuu Molemo, naomba unipe statistics ya uchaguzi wa madiwani Tanzania yote! nataka kujua nikata kangi zinashindaniwa kwasasa! nihayo tu!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mzeewandimu
Ni kata 29 zinashindaniwa kote nchini na uchaguzi utakuwa tarehe 28.10
 
Last edited by a moderator:
sahizi kamanda john mnyika kapanda anaongea na wananchi

kamanda john mnyika anamalizia mkutano na anatangaza mchango wanamabadiliko wamechangia laki moja naelfu sitin tatu miasita hamsin huu ni mchango wa wapenda mabaliko wa kata ya msalato tu.
 
Hongereni sana wana-Msalato.Hongera Jembe John Mnyika.
 
kamanda john mnyika anamalizia mkutano na anatangaza mchango wanamabadiliko wamechangia laki moja naelfu sitin tatu miasita hamsin huu ni mchango wa wapenda mabaliko wa kata ya msalato tu.

mkutano umemalizika na sasa kamanda john anaenda kufungua tawi
 
Nasikia huyo mgombea udiwani wa magamba ni akari magereza mstaafu na alikuwa store pale gereza la isanga,amefanya ufisadi wa kutisha na aliposhtukiwa aliumwa knoma ikabidi auze baadhi ya mali zake kwa ajili ya kuhonga na kwenda kwa waganga.ana mashamba kule msalato kama nini,anaitwa mzee ally ni muha wa kigoma
 
upo sahih mkuu ni huyohuyo fisad wa mageleza.
 
Dodoma inawenyewe kama uamini uliza kilichomkuta lema kule tabata, na mnyika wakati anafungua matawi ubungo. Ni jf walimuokoa kwa kutotoa picha za mkutano

Acha uongo,picha ziliwekwa hapa na tuliona....halafu ddm ya zamani c o hii tunayoishi ss umechemsha
 
Nasikia huyo mgombea udiwani wa magamba ni akari magereza mstaafu na alikuwa store pale gereza la isanga,amefanya ufisadi wa kutisha na aliposhtukiwa aliumwa knoma ikabidi auze baadhi ya mali zake kwa ajili ya kuhonga na kwenda kwa waganga.ana mashamba kule msalato kama nini,anaitwa mzee ally ni muha wa kigoma

Kwa ufisadi huo hafai kuwa diwani. Muwaeleze wananchi kwa kina uchafu wake wote ili wafanya uchaguzi wakijua pumba na mchele.Wasijekualalamika hapo baadaye
 
Mkuu mzeewandimu
Ni kata 29 zinashindaniwa kote nchini na uchaguzi utakuwa tarehe 28.10

Thanks very much for the info Mkuu Molemo. If you don't mind unaweza kuzikumbuka kichwani ukatumwagia?
 
Back
Top Bottom