live up date.M4C dodomo

usifiche kitu anzia na vikao vya kanisani tuwekee humu mkuu.
upumbavu mliona ndio unaowafanya muwe na ufinyu wa kufiki kiasi hicho ulichonacho.kanisani huwezi kwenda ukawa mpumbavu au ukakosa elimu ya fikra kama uliyonayo .pole na tutawakimbiza sana ,hiyo ndio movement for change .magamba mkubwa wewe.watu tuko kwenye kulikombo taifa wewe unaleta udini wako hapa,tafuta wajinga wenzio hapa hupati mtu joo...pipoooo.....
 
mkuu mbona huku kigoma makamanda walifanya vikao na viongozi wa kanisa, nawashauri makamanda tumieni njia hiyo ya kupitia kwa viongozi wa kiroho labda wagogo watabadilika.
hapana mi nafikiri ushauri wako ungefaa sana kwa mke wa ccm kutumia masheikh, kama ponda vile ingependeza sana!
 
sahzi kamanda john mnika kishafika na makamanda wengine na kikundi cha ngoma kinaburudisha

Jembeeeeeeeeeee!! John Mnyika huyu ndiye Role Model wangu.Kijana asiye na makuu,mchapakazi mwenye hekima na mtetezi mkuu wa chama chake cha CDM.Pambana Mnyika hakika utafika mbali sana.
 
leo kutakuwa na mkutano wa chadema dodoma mjinieneo la msalato nitaendelea kuwapa Up date.sahz wafuasi wa ccm wameleta fujo wameteka kamanda mmoja makamanda walio baki 2naenda kumkomboa.

mkuu hongereni, nipo nje ya mji kidogo, hebu nipe ratiba ya kesho
 
Back
Top Bottom