Live: Uefa Champions League draw

Ha ha ha !, nasubiri kusikia excuse za Game Fatique, miguu kuvimba kwenye ndege etc, na zile ashes zikijirudi sijui itakuwaje Mkubwa..?

Hakuna kitu kama hicho tushazoea.tunamaliza biashara round ya kwanza mechi za marudiano zote tunawapa reserve.
 
amazing the best player of UEFA CL hakupata nafasi ya kung'aa woza 2010
Woza a.k.a Oza kungaa kwake kunaishia Premier league tu, akitoka kwenye comfort zone ya England anakuwa ovyo tu, angalia mashindano yote akiwa na timu ya England ama Champions league hana mikiki.
 
Duh chuki nyingine, watu wanazungumzia kuhusu Diego Milito kutokuiwemo kwenye World Cup aka WoZa 2010. Umechanganya mambo.
 
mpaka sasa naona group G ndio Group of death!
na ndio timu zenye historia ya kombe hilo,real madrid,ac milan na ajax amsterdam
miji mikuu ya belgrade,bucharest,glasgow,amsterdam na madrid ndio miji mikuu pekee iliyobeba uefa champions league
 
Duh chuki nyingine, watu wanazungumzia kuhusu Diego Milito kutokuiwemo kwenye World Cup aka WoZa 2010. Umechanganya mambo.

Mkuu hii ilikuwa lost in translation, mimi nilijua anaongelewa Rooney kwa sababu nae anatumia nick-name ya Wozza.
 
drogba vs timu yake ya zamani marseille,fs twente chini ya steven mc laren,rubin kazan msimu uliopita kamfunga barca nou camp 2-1,ngoja tumuone suarez akiwa captain wa ajax amsterdam itakuwaje maana afrika karibia yote ndie adui wetu huyu kwa kudaka vs ghana kama kipa,tumewakosa juventus,liverpool ndio kama timu kubwa ulaya ambazo zimekosa mashindano haya
 
na ndio timu zenye historia ya kombe hilo,real madrid,ac milan na ajax amsterdam
miji mikuu ya belgrade,bucharest,glasgow,amsterdam na madrid ndio miji mikuu pekee iliyobeba uefa champions league

Vipi kuhusu Lisbon?!
 
Pole sana kwa kuota ndoto ya mchana!! Arsenal haina hata UEFA Championship cup moja. Mtaishia kubakia on 2nd or 3rd place kila mwaka, kupata chance ya Championship league na kuishia either 2nd round ama quarter final, and that's it!! Ubingwa wa EPL sahau.
Kama Mauhinho alivyosema jana, every year Arsene Wenger analia oooooh it's a young team mwaka hadi mwaka! Arsenal ni kama Yanga, no continental success!!
 
drogba vs timu yake ya zamani marseille,fs twente chini ya steven mc laren,rubin kazan msimu uliopita kamfunga barca nou camp 2-1,ngoja tumuone suarez akiwa captain wa ajax amsterdam itakuwaje maana afrika karibia yote ndie adui wetu huyu kwa kudaka vs ghana kama kipa,tumewakosa juventus,liverpool ndio kama timu kubwa ulaya ambazo zimekosa mashindano haya

Steve MCLaren ni kocha w FC Wolfsburg ya Germany!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom