Live TV. . .

Kwa speed si shida sana coz most of our networks zinasupport vizuri tu. Nyingi ni kati ya 200-800bit/sec wakati mitandao yetu inafikia zaidi ya 1MB/sec. Shida iliyopo ni gharama ya hizo bites. Jaribu kwanza uone kama itakufaa mkuu. Lakini kiukweli ni ghali sana.

mbona mkiuziwa line za free net kununua hamtaki mnalalamikia tu ghali ghali, au mnaogopa dhambi...
 
Nilimaanisha malipo ya ziada (kulipia app, channel zenyewe).

Alafu kwani wale wanaotumia broadband inakuaje? Si ni wanakua na internet isiyojalisha kiasi gani wanatumia?Au?
hiyo unlimited package ni shared so speed is very slow huwezi kustrea... ni kama umepewa ndoo ya maki afu ukaabiwa unywe kwa mrija wa peni in half an hour umalize
 
Kama una tablet au simu ya android , bila kusahau internet inayoeleweka unaweza ukafurahia kuangalia TV online.
Uzuri wa hii app (tofauti na nyingine nyingi) haikupeleki kwenye website za kizushi, unabadili tu channel kulingana na interest yako.

Baadhi ya channel zilizopo ni NRJ (Paris, Pure, Pop/Rock, Urban na dance) + MTV kwaajili ya music, Eurosport na ESPN kwaajili ya michezo, CNN + BBC + Aljazeera kwaajili ya taarifa ya habari, Star Tv hii naona ina makorokoro ya kila aina, Fox Crime + National Geography + History channel, NASA tv, CINE(+) + Fox movies + Movies kwaajili ya movies pia Cartoon Network na Disney Channel.
Hizo ni baadhi tu (zile zinazonivutia mimi) kwahiyo kama na wewe unataka kufaidi na nyumbani huna king'amuzi nenda tu kwenye Android market utafute LIVE TV (sio zaidi wala pungufu) alafu udownload.

Hamna malipo ya aina yoyote ile.


Lizzy hapo nilipobold hizo za michezo ni zile channel za sports news au unaweza ona hata live sports bila subscriptin fee yeyote
 
hiyo unlimited package ni shared so speed is very slow huwezi kustrea... ni kama umepewa ndoo ya maki afu ukaabiwa unywe kwa mrija wa peni in half an hour umalize

Hehehe, owwkeyy!!

Alafu nimeangalia inakula 400MB /Hr kuangalia.
 
Back
Top Bottom