Pole kwa mtindio wa ubongoZanzibar ni nchi athubutu kuingilia mambo ya Zanzibar aone yatakayo mtokea, ni vyema kutambua kuwa Zanzibar ni chi ina Rais wake na mamlaka yake Kikwete hana mamlaka ya kuisemea Zanzibar
Huyu ni rais wa tanganyika aliyejificha kwenye koti la muungano!
Pole kwa mtindio wa ubongo
Kikwete yuko live tbc anahojiwa na Kissu khs miaka 50 ya muungano cha kushangaza anaongelea barabara zilizojengwa hlf anataja mikoa yote ya Tanganyika simsikii akizungumzia Zanzibar au huyu ni raisi wa mngano au Tanganyika?
Mhe. Rais J.M.Kikwete,
Onyo lako kuhusu muungano ni sawa na ngonjera.
1. wewe unajua wazi kuwa umevunja katiba ya JMT halafu unatutisha kuwa tunaohoji muungano tutakiona unatumia katiba ipi?
2. Jana ilikuwa nafasi nzuri kwako kuwaambia watanzania sababu mahususi za muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
3. Ulitakiwa utuonyeshe kama sababu hizo mpaka leo na kwa mazingira ya sasa ni muhimu au la
4. Muda wa vitisho umeshapita na hata vitisho vyenyewe vitolewe na serikali inayojali watu wake lakini si hii ya ccm kwa maslahi ya ccm na wageni.
Tusikubali kubaki vipande vipande tuimarishe muungano wetu. Tuondoe zile kasoro zilizoonekana. Ni fahari kuwa na muungano ambao tumeuasisi wenyewe na mataifa mengine wanautamani.
Kikwete yuko live tbc anahojiwa na Kissu khs miaka 50 ya muungano cha kushangaza anaongelea barabara zilizojengwa hlf anataja mikoa yote ya Tanganyika simsikii akizungumzia Zanzibar au huyu ni raisi wa mngano au Tanganyika?
nampongeza sana Rais wetu kwa kuwaonya hawa mashetani wavunja muungano. Onyo liwaendee Warioba and the Company
Tusikubali kubaki vipande vipande tuimarishe muungano wetu. Tuondoe zile kasoro zilizoonekana. Ni fahari kuwa na muungano ambao tumeuasisi wenyewe na mataifa mengine wanautamani.
Ndio maana mnaitwa vichaa! Kwanza sio live, ni marudio ya mahojiano yaliyofanyika juzi jioni!
Pili, Raisi anaongea kwa utaratibu kulingana na maswali na hilo la kuizungumzia Zanzibar lisubiri kwenye maswali ya mbeleni!