Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

Nape tunajua ni CDM pale alipo anazuga mwisho wa siku atajiunga na kambi ya ukombozi
 
Godyp unapaswa kuona aibu. Ulitakiwa kuomba msamaha kwa wanajamvi kabla ya kujitetea.

Nisome vizuri tena na tena.

Kukusaidia ngoja nikuonyeshe mtiririko. Kwanza shukrani kubwa ziende kwa jogi, amejitahidi sana kuwasilisha alichosikia vizuri, kiasi kwamba msomaji unapata kitu toka kwake.
Wewe umeanzisha uzi saa 23:14 hukurudi hadi na dk 23. Haujatuambia mada waliyokuwa nayo mezani ni ipi. Dk 17 unaulizwa swali la msingi. Jogi analijibu swali hilo dk18. Wewe umekuja kulijibu dk 23, ukiwa unamjibu Mathewz aliyetaka kujuzwa kinachojiri. Jibu lako halina mashiko kama la jogi: Ona tofauti "Idadi ndogo ya wapiga kura" na "Kujitokeza watu hafifu kupiga kura". Kwa mtu aliye makini atauliza idadi ndogo ya wapiga kura imefanya nini?, imetendewa nini?,...? Haijitoshelezi. Lakini jibu la mwenzako lina mashiko ukiachilia mbali matumizi ya watu hafifu badala ya wachache.

Funguka, usiwe fundi wa kujitetea. Ona aibu. Kama unaanzisha thread inayokwenda sambamba na programu ya TV halafu unaibuka mara chache mno kuliko waliokufuata ktk kuwajuza watu, tena katika ubora wa chini. Angalia, mpaka inafika dk 40 umechangia nini?

Sasa hapo kaka nimeelewa kosa langu!
Na nimekiri kosa langu!
Lkn kwa upeo wangu nilivyo fkiri ni kwamba haina haja ya kutuma kilichotumwa i mean nilipo kuwa nikitaka
kutuma kinachoendellea kilikuwa tayar kimeshatumwa!
Kosa lingne nimegundua kuchelea kurud!
Ila heshima za dhati kabisa ziende kwa JOGI na wanajamv walisababisha wengine waelewe!
Napia respect kwako uliyenielewesha na kunipa changamoto 4 next tym! Japo nimechelewa tena!
Nawasilisha comfusion!!
 
Sasa hapo kaka nimeelewa kosa langu!
Na nimekiri kosa langu!
Lkn kwa upeo wangu nilivyo fkiri ni kwamba haina haja ya kutuma kilichotumwa i mean nilipo kuwa nikitaka
kutuma kinachoendellea kilikuwa tayar kimeshatumwa!
Kosa lingne nimegundua kuchelea kurud!
Ila heshima za dhati kabisa ziende kwa JOGI na wanajamv walisababisha wengine waelewe!
Napia respect kwako uliyenielewesha na kunipa changamoto 4 next tym! Japo nimechelewa tena!
Nawasilisha comfusion!!

Vema!!

Huu ni uungwana wa kukubali unapokosolewa katika haki.

TUKO PAMOJA.
 
Kijana mmoja alikamatwa na kadi ya kupiga kura alijiandikishia mbagala alipohojiwa akamtaja Godbless Lema. mwandishi akamkatiza

Pia amelalamikia itv na tbc wanarudia mikutanao isiyo kuwa siku mkutano ulifanyika.

Cdm ni kiboko cha ccm. Sidhani kama Nape atakuwa na la maana la kusema mbele ya Mnyika.
 
Back
Top Bottom