Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

Nape anaongea kwa tahadhari kubwa, nadhani anaogopa kujichanganya
 
nape anadai cdm huwatisha wapiga kura akitolea mfano tarime
 
nape anasema eti arumeru vijana walitumia mbinu ya kuwaibia vitambulisho wazee ili washindwe kuipigia ccm
 
nape anatoa uzoefu wake kuwa wakti fulani mbeya kulikuwa na by election, wamama walitishwa na ikawa vigumu kwao kwenda kupiga kura, mbinu ya kuwakusanya au kujikusanya ilitumika
 
hata akipanua miguu kuna tatizo gani kwani ni gauni? hebu tueleze mambo ya maana huko sisi ambao ccm haijatuwezesha kuwa na umeme kwa ajili ya kuwasha tv zetu. huku kwenye jimbo la wasira ni giza tupu
 
Myika anashauri ununuzi wa vitambulisho ukome, uboreshwaji wa daftari uwe na lengo la endelevu, msingi wa upigaji kura uwe kwenye daftari la kupiga kura, na si kwenye kadi, ili mtu akipoteza kadi lakini awepo kwenye daftari awezeshwe kupiga kura kwa taratibu muafaka.
 
nape anasema ameshangazwa na vyombo vya habari kuonyesha mikutano ya uzinduzi kupamba habari za siku nyingine, anasema umati hutokana na wahudhuriaji kutoka maeneo tofauti na eneo la uchaguzi, kwa arumeru watu walitoka karatu, hai, moshi, arusha n.k
 
hata akipanua miguu kuna tatizo gani kwani ni gauni? hebu tueleze mambo ya maana huko sisi ambao ccm haijatuwezesha kuwa na umeme kwa ajili ya kuwasha tv zetu. huku kwenye jimbo la wasira ni giza tupu
namuona nape akiiumbua CCM kwamba wanakuja watu kutoka sem za mbali kweny kampeni lihali si wapiga kura, wakati wao ndo hukodi maroli kurundika watu
 
Kijana mmoja alikamatwa na kadi ya kupiga kura alijiandikishia mbagala alipohojiwa akamtaja Godbless Lema. mwandishi akamkatiza

Pia amelalamikia itv na tbc wanarudia mikutanao isiyo kuwa siku mkutano ulifanyika.
 
Myika anashauri ununuzi wa vitambulisho ukome, uboreshwaji wa daftari uwe na lengo la endelevu, msingi wa upigaji kura uwe kwenye daftari la kupiga kura, na si kwenye kadi, ili mtu akipoteza kadi lakini awepo kwenye daftari awezeshwe kupiga kura kwa taratibu muafaka.
hakuna CDM ambao wana huo mchezo
 
Back
Top Bottom