Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,627
14,750
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;

1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.

Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.

2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!

3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
Na hii hujitokeza sana pale ambapo unakuta kuna wapendanao kama Lady doctor na Arushaone wakishow malove yao, utasikia oh heri yenu mnaopendana au kutoa kauli nyingine kama hizo, ambazo ni za malalamiko.
Hakuna haja ya kulalamika tena kwani na wewe unaweza kuwa na Mpenzi na ukaonyesha malove ya nguvu.

Hii itakuwa habari njema kwa madomo zege pia, kwani kama huwezi utasaidiwa..

Kama kuna mtu umemwona kutoka jukwaa lolote lile hata la Sports, Siasa, Ujasiriamali, Kazi na Tenda n.k
Ukampenda na ukaona anakufaa wewe, mlete hapa couple itengenezwe!!!
Hakuna haja ya kushinda tena PM na ukaishia kula za uso...
Hapa vocal zinashushwa live live....
Baba V, Arushaone tuundieni kamati ya kufanikisha hili zoezi.
mwaka 2014 ni mwaka wa malove love.

Nawasilisha.

NB; hata walioko kwenye ndoa na hawazidumishi au hawaridhiki nazo!! u can create another one.

Couples ambazo zipo na zina exist
Ni hizi hapa na ni vyema zikaheshimiwa....
kiwatengu & shansarie
Tuko & jawilat (hii bado ni mpya sana) na ndoa itatangazwa muda wowote...

Valentina & Kiranga

Arushaone & Lady doctor

Judgement & YNNAH

watu8 & measkron
Filipo & marejesho
Erickb52 & Chocs (hawa huu mwaka wako kimya sana)...
sosoliso & Paloma...
Jerrymsigwa & amu (not verified yet).
Kaizer & DEMBA
Eli79 & KOKUTONA
Ruttashobolwa & Passion Lady..
Bishanga & The secretary (hii ni dormant kwa sasa)
The Boss & Kaunga (hidden)

King'asti & Paw
Mr Rocky &
nitonye & Arabela (hawa wameachana tayari)**
mkiva & Preety
Tyta & Eshy m.s (verified)

Mentor & mwallu (real in and out)....
Katavi & Husninyo (unlimited love)

Daudi1 & Angelicious

sungura1980 & Bantu lady (hongereni sana.) :)
Jipu na charty (dumisheni uhusiano wenu mara kwa mara)..
Mokoyo & ICHANA
A%20S-heart-2.gif

Mwanyasi & janeth1 (good sana)

Madame B & MO11

Ntuzu & Khantwe...
.......list bado inaendelea

Nyingine bado sijazisoma vizuri..
Ila na nyie mnaofuata hapa mseme status zenu isijetokea unapigwa vocal mara mbiili...
kabanga Vin Diesel Heaven on Earth Ablessed Munkari PakaJimmy Mtoto halali na hela Smile Mapi farkhina sidhani kama mko single labda mseme wenyewe..

Cc; Baba V Mamndenyi

Updates.....
2016.
Eddy Love & christine ibrahim.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wanaonizimikia humu wote huu ndo uwanja wenu wa kutoa kilicho mioyoni mwenu,nakaribisha kutongozwa kuanzia sasa.

Vigezo: 18+.Uwe unamiliki mkoko wa maana eg Vogue,Prado,Hummer,etc.Uwe na nyumba nzuri(Ghorofa is added advantage).Account yako isiwe na chini ya milioni 300.Uwe na mzigo(makalio) makubwa kama ya Snura au zaidi.Uwe tayari kunipa papuchi kila napojisikia.

Wahi sasa nafasi ni chache....!!!!!

#Vigezo na masharti kuzingatiwa#
 
Wewe utawapa nn kama unaowataka watakuwa na vyote hivyo au unaogopa mizinga
 
Wanawake wanaonizimikia humu wote huu ndo uwanja wenu wa kutoa kilicho mioyoni mwenu,nakaribisha kutongozwa kuanzia sasa.
Vigezo: 18+.Uwe unamiliki mkoko wa maana eg Vogue,Prado,Hummer,etc.Uwe na nyumba nzuri(Ghorofa is added advantage).Account yako isiwe na chini ya milioni 300.Uwe na mzigo(makalio) makubwa kama ya Snura au zaidi.Uwe tayari kunipa papuchi kila napojisikia.

Wahi sasa nafasi ni chache....!!!!!

#Vigezo na masharti kuzingatiwa#

th
 
BIG UP kiwatengu!
Absolutely you have been create perfect products ! Umefikiri nje ya box !
Kumbe maubunifu mko nayo vichwani !
Ila nakunyima 100% kwa kuchelewesha wazo hili mapema wakati ulikuanalo!
Nakupa 90% .

Mkuu huu mwaka umeanza vyema sana...watapendana tu! Hivi umemwona mwallu hapo anachokisema?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom