Live streaming kwa mkutano wa Bill Clinton Global Initiative (JK yupo)

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Wajameni huu ni wakati wa kufatilia live sessions kwa mkutano ambao JK nae amealikwa USA.Leo ni opening sessions chaired by Bill Clinton.Mkuatano ndo unaanza sasa live fatilia hapa:CGI Live - live streaming video powered by Livestream.
Jk kesho anachair plenary session yeye na Nicholas Kristov.Session ya JK ni Juu ya Global Nutrition.kesho saa sita na robo New York time:12.15 P.M EDT. Tufatilie mambo haya mabo yanatuhusu nchi maskini.
 
Vp Bill atagawa pesa baada ya mkutano? naona hiki ndicho kilichompekeka jamaa yetu.
 
Yaani niache kazi zangu kwa ajili ya kumfuatilia huyo jamaa??!!
Bora nikalale kama sina shughuli ya kufanya!!
 
Duu, mpaka Ughaibuni JF tunao uwakilishi hata kule kusikofikika na uwakilishi wa gazeti la CCM liitwalo UHURU?????? Jaaama mko juu kama ndege ya Obama!!!!!!!!!!!

Hebu kampelekee japo ki-memo JK hapo kwenye mkutano ukamwambie tu kwamba zile fitina za kifisadi huku nyumba tayari kule ARUSHA CCM PWAAA NA KICHAPO CHA AINA HIYO HIYO KUTARAJIWA NAKO Igunga kabla haijageuka kuwa ni swala la nchi nzima.

Ndio, kamwambie kwamba huku sisi ni raha tupu gizani baada CHADEMA kukibwa CCM na fitina za kifisadi.
 
Kikwete akazungumzie Lishe Bora huko Ulaya wakati kodi zote zishakwapuliwa na maisha kuwa magumu balaaa au ndio tuseme huo ndio usanii wa aina gani tena??????????????

Back
Top Bottom