Live stream: Yanga vs Zamaleki

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kila la heri wazee wa jangwani kwenye bwawa aka mafuriko..
soon tutawawekea streams za chanel za kiarabu humu:
enjoy
 
Ivi kwa Tz hakuna itakayorusha live huu mpira,au ndo yale mambo ya kuogopa watu wachache kuingia uwanjani?
 
kila la heri wazee wa jangwani kwenye bwawa aka mafuriko..
soon tutawawekea streams za chanel za kiarabu humu:
enjoy

HAKYAMUNGU TENA WEWE UMETUPATIA KILA LA HERI YA UNAFIKI

washabiki wa simba nyie, mi nakwambie tena leo yanga tunaua mtu, tusiposhinda..........!! mimi
 
Back
Top Bottom