Live StarTV: Sikiliza yanayojiri Bungeni hivi sasa!

Tundu Lissu, Saidi Mkumba na Mhe. Mbarouk wakiwa Studio za Dodoma
 
Neno dhaifu ni la kawaida sana mbona Mh. Mbowe alilitumia mara kadhaa jana bungeni akisema serikali dhaifu lakini spika (Makinda) hakumwambia kutoa maneno hayo ni kwa sababu Mbowe alikuwa anaanza kuzungumzia mapungufu ya serikali kabla ya neno dhaifu lakini Mnyika alikuwa anaanza na neno Jk ni dhaifu kabla ya kueleza kwa nini dhaifu na kuonekana kama personal attack.
 
Udhaifu wa JK umetufikisha hapa tulipo katika miaka hii kumi ya kutawala kwake otherwise this country deserves to be called a strong country because we have many of the resources that many of those who surround us haven't!!
 
Neno dhaifu ni la kawaida sana mbona Mh. Mbowe alilitumia mara kadhaa jana bungeni akisema serikali dhaifu lakini spika (Makinda) hakumwambia kutoa maneno hayo ni kwa sababu Mbowe alikuwa anaanza kuzungumzia mapungufu ya serikali kabla ya neno dhaifu lakini Mnyika alikuwa anaanza na neno Jk ni dhaifu kabla ya kueleza kwa nini dhaifu na kuonekana kama personal attack.

Jamani tuache kujifanya hatujui Mbona vitu vipo wazi Mnyika kamtaja mtu personal Mboye kaitaja serilali vinafanana? Na hata ivyo pale imesomwa sheria zao kuwa ukifanya hivi adhabu yake ivi Co mtu kaamua tuu kufanya vile Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni bana.
 
Back
Top Bottom