Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Defence ya Simba inayumba. Kosasa za magoli ni nyingi sasa. Hope coacha atafanya jambo.
 
dah, haya mambo ya kulinda ili tubaki na ketu kale kamoja ndio yametuponza....kama mapema tu bao..sijui itakuaje...anyway tungoje hizo 90mins

Kulingana na mzee wa "kamati ya ufundi" niliyemsikia siku moja kabla U23 hawajaondoka kwenda Nigeria, alisema kupitia Radio one jumatano tuozungumze michezo alimesema Kocha Kihwelo asihofu kwani mechi itaisha kwa sare ya magoli 2-2. So wabongo msihofu. Alisema hata order ya magoli yatakavyofungwa, kuwa Nigeria wataanza kufunga, then TZ watasawazisha, then Nigeria wataongeza goli na finally TZ watasawazisha na ngoma kuisha 2-2.
 
Kulingana na mzee wa "kamati ya ufundi" niliyemsikia siku moja kabla U23 hawajaondoka kwenda Nigeria, alisema kupitia Radio one jumatano tuozungumze michezo alimesema Kocha Kihwelo asihofu kwani mechi itaisha kwa sare ya magoli 2-2. So wabongo msihofu. Alisema hata order ya magoli yatakavyofungwa, kuwa Nigeria wataanza kufunga, then TZ watasawazisha, then Nigeria wataongeza goli na finally TZ watasawazisha na ngoma kuisha 2-2.
duh!!!we dont buy
lakini kila kitu kinawezekana na iwe hivyo
 
Game inaelekea Half Time bado Nigeria 1 Tanzania 0

45The crowd roar in appreciation as AC Milan's Nnamdi Oduamadi is brought on for the injured Aluko. Oduamadi's first touch, a deft no-look pass draws ooohs and aaahs from the crowd.
44Zubir Ubwa is fould and Tanzania win a free kick
43Lukman Haruna Corner - Haruna takes the corner and Ganiyu Oseni, unmarked in the six yard box, astonishingly side foots over the bar. Avery bad miss, that.
42Ekigho Ehiosun wastes another opportunity to double Nigeria's money. He is fed by Haruna....faced with the goal keeper, he delays his shot and the Tanzanians clears for a corner
41Lukman Haruna Free Kick - Lukman Haruna's free kick from 20 yards, a low hard effort, misses the target by centimeters as Nigeria continue to search for a second goal
40Emmanuel Ulimwengu fouls Nurudeen Orelesi in the penalty area. The defender appears seriously hurt and will be taken to the sidelines for quick examination.
38Tanzania break forward. Ulimwengu is free on the left...he lifts his shot over the onrushing Ajiboye who clatters into him. The lobbed effort fails to find the target.
36Nigeria almost double their advantage. Ganiyu Oseni produces an inch perfect pass to Ehiosun. The striker is unmarked in the penalty area. He however drags his shot wide but his chances of hitting the target were quite low as the shot was from his weaker left foot.
34Manjamani Abdul - Tanzania win yet another free kick close to the Nigerian penalty area. Manjamani delivers well enough and Ajiboye scrambles to uneasily punch away for a Tanzanian throw in
 
45Ulimwengu is enjoying a great afternoon. He is increasingly getting involved in all the positive play of the Vijana Stars. He picks up a pass midway into the Nigerian half and holds off three defenders before producing a powerful shot Ajiboye does well to hold.
 

45
Lukman Haruna's free kick after a foul on Ehiosun is high and wide...it represents the last kick of a hugely entertaining half. Nigeria 1 Tanzania 0....ditto on aggregate.
45Oseni blasts over
 
Simba wanakosa goli la wazi kabisa, mgosi alikuwa yeye na golikipa akafanya mbwembwe za chenga, defenda akamwahi.
Simba wanaonekana kujaribu kushambulia. bado moja-moja.
 
Back
Top Bottom