LIVE: Simba V/S Setif

Nimeandika jana simba walikwenda pamoja watarudi airport kwa mafungu laaana ya yanga ;lazima iwatafune leo na bado
 
Simba 1 setif 3 kwa matokeo haya chongo kaona mwezii sek 20 zimebaki hongera okwiiiiiiii mpira umekwishagoli la dk ya 91 kocha amebebwa hapa amefuzu na goli la ugenini
hongeren watani
 
Wazee japo soka la bongo linanikera sana.....leo nitaufuatilia hu mtanange....nawaombea simba washinde......mji wa setif ni baridi kali kwa sasa ni 9°C ambayo itawaathiri sana wana simba.....

SIMBA 1: WAALGERIA 3

Samba Yasonga mbele
 
Nimeandika jana simba walikwenda pamoja watarudi airport kwa mafungu laaana ya yanga ;lazima iwatafune leo na bado

Simba 1 setif 3 kwa matokeo haya chongo kaona mwezii sek 20 zimebaki hongera okwiiiiiiii mpira umekwishagoli la dk ya 91 kocha amebebwa hapa amefuzu na goli la ugenini
hongeren watani

Mkuu hujafa na presha kweli wewe?!?
 
Simba 1 setif 3 kwa matokeo haya chongo kaona mwezii sek 20 zimebaki hongera okwiiiiiiii mpira umekwishagoli la dk ya 91 kocha amebebwa hapa amefuzu na goli la ugenini
hongeren watani

wewe ni mnafiki ambaye nchi hii imepata balaa kwa uwemo wako.....Mungu akulaani kwa ubovu wa akili yako
 
Simba 1 setif 3 kwa matokeo haya chongo kaona mwezii sek 20 zimebaki hongera okwiiiiiiii mpira umekwishagoli la dk ya 91 kocha amebebwa hapa amefuzu na goli la ugenini
hongeren watani

tehe tehe tehe !
VUUUUU !STIMU ZIMEKUKATIKIA ILE GHAFLA.UNATAFUTA PAKUJIFICHA UPAONI...AIBU GANI !!!
 
Back
Top Bottom