Elections 2010 Live: Sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein

Kikwete keshakuwa Rais au kaalikwa kama mwenyekiti wa CCM? Mbona hii ni kizunguzungu jamani? Anyway tunawatakia maisha mema wote
 
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Kikwete ni Rais hadi Rais mwingine atakapoapishwa.
 
Back
Top Bottom