Elections 2010 LIVE ON TBC1: Mdahalo wa Wabunge - Jimbo la Arusha

Demokrasia makini:
Ataanza kutoa Elimu kwa wananchi
Magari ya taka
Dust bins ziwekwe
 
CHADEMA:

Anamsagia Batilda amekacha na yeye waziri wa mazingira . . .

Kuandaa mikakati na attitude ya watu kujua juu ya mazingira
Atafanya kazi na madiwani
Dust bins ziwekwe
 
Du ! jamaa woote wamekosa. Hapa mtaani kwetu mimi na jirani yangu tumehamaisha vijana wanafanya usafi barabara zote za mitaani na kupanda maua na miti na kuweka dust bins. Kuchonga bara bara nk.

Wala si madiwani wala wabunge
 
Mbuzi wa ccm amejificha kama bosi wake.hawa madudu wasituchezee,hatutaki siasa za gizani.asiyekuja mdahalo asichaguliwe,awe buriani(marehemu) au kikwete.wizi mtupu
 
Mikakati gani mtatumia kukuza utalii na kuifanya Arusha iwe kivutio?
 
CHADEMA:
Ngorongoro na Serengeti zitunzwe
Analalamikia kutengeneza barabara ya lami mbugani. Kutunza mazingira
Kutengeneza miundombinu
Kupanua mji
 
naona mkuu wa TLP is smatter by far... na huyu wa demokrasia makini ndio kiazi zaidi!!!
 
CUF:

Vyanzo vya asili vidumishwe
Kujenga hoteli mbugani kunakimbiza wanyama
Kuutangaza utalii
Kupigania kupata fungu maalumu serikalini
 
Swali: kutoka kwa Neema Lema:

Suala la Afya - shida za akina mama na watoto. Mna mikakati gani?
 
Lyimo wa TLP:

Arusha kuwa na hospitali ya rufaa
Vituo vya faya kila kata
 
DEMOKRASIA MAKINI:

Hata ukikusanya mapato pesa hazipatikana
Walalahoi wajitolee kujenga hospitali wenyewe
Yeye attafuta wafadhili
 
CUF:
Kujenga zahanati kila kata
Kuimarisha hospitali ya mkoa
Ana NGO 123 ambazo ziko tayari kusaidia
 
CHADEMA:
Atajenga hospitali 3 katika tarafa
Kupigania maslahi ya manesi na madaktari
 
CHADEMA:
Kujenga hospitali 3
Kuboresha maslahi ya manesi na madaktari
 
SWALI: Juu ya Usalama. Kuna vituo 19. Kimoja kinafanya 24 hours. Vingine vinafungwa saa 12. watatuhakikishia vipi usalama?
 
TLP:
Ataanzisha double Budget: Ya kuendesha jiji na kuinvest katika watu kwa ajili ya kuondoa umasikini
Masikini lazima waibiane
 
CUF:
Vituo vikubwa vifanye kazi 24 hours
Mmeona zanzibar mabadiliko. Mkitaka bara pia mabadiliko, tuchagueni CUF
 
Wasli juu ya Elimu:

Watoto wanateseka kwa nauli na shule hakuna chakula na wanarudi home late
 
Demokrasia Makini:
Wapeleke vifaa vya maabara
Waalimu wafundishwe vizuri, si hawa wa wiki mbili
Kuongeza Sec za kutosha
 
Back
Top Bottom